Mm kwa jns nnavyoon wote wako sawa 4g na LTE znamaan moja czan kama utofauti kmaanaMkuu hata mimi naitumia Samsung a30 inasoma 4g wala sio LTE sjui tatizo ni nn au kuna mtu anatumia halotel ya 4g simu yake inasoma LTE atuambie tujue kama shida ni cm zetu ama laah.!! Maana nachojua mimi 4g na LTE ina kuwa na kasi kubwa zaidi kuliko 4g au nmekosea jmn ndio maana ni vizur isome LTE kuliko kusoma 4g tu.
ulishawahi kupigwa ?Acha mikwara kama hujui hata NAT ni nini
Bei kiasi gani?Huawei Router E5573 model E5573Cs-322 inasupport 4G ya Halotel.Hizi router wanauza Halotel shop Mlimani city na unaweza kuweka line ya mtandao mwingine.
Sijui kwa nini ya E5377Bs-605 haifanyi kazi kwa 4G ya Halotel.
165000Bei kiasi gani?
Kwa Bei hii ndio maana ipo unlocked maana na wao wanapata Faida.165000
Router yangu pia inapiga mzigo vizur kwa network ya 4g ya halotel,ila nilinnunua tigoshop bei wanaanzia elfu 99Bei kiasi gani?
Sidhani kama inachagua bali ni bado aijawashwa kwenye minara yoteHiyo 4G ya halotel inachagua sana maeneo, hapa hapa mjini kuna maeneo kibao haipo.
Ndio walivyo wale wanadanganya, Mimi waliniambia hivyo hivyo nikawaambia ya royal ninayo nataka ya kawaida wakanisajilia. Inavyoonekana Kuna bonus fulani wanapewa mtu akisajili line ya Royal.Wadau... nimeenda pale Halotel makumbusho nimembiwa laini ya 4G ni sh elfu 10 yule dada kaniambia ni royal. Kasema hakuna za kawaida. Nimesepa.... hakuna sehemu wanayosajiri kwa bei ya kawaida? Nilikua na laini wakaifunga kwahiyo siwezi kuswap
Ya kawaida walikudai shilingi ngapi?Ndio walivyo wale wanadanganya, Mimi waliniambia hivyo hivyo nikawaambia ya royal ninayo nataka ya kawaida wakanisajilia. Inavyoonekana Kuna bonus fulani wanapewa mtu akisajili line ya Royal.
Usajili Ni bure mkuu, hata hio royal unatoa 10,000 na ndani unakuta umeungwa royal ya mwezi yenye thamani ya 10,000. Au hata Kama watataka Hela Ni 1000 max maana ndio gharama za usajili wa kawaida.Ya kawaida walikudai shilingi ngapi?
Sawa chief, nitaenda kucheki mlimani city. Badae maana yule binti akiniona atanikumbuka alafu anikazieUsajili Ni bure mkuu, hata hio royal unatoa 10,000 na ndani unakuta umeungwa royal ya mwezi yenye thamani ya 10,000. Au hata Kama watataka Hela Ni 1000 max maana ndio gharama za usajili wa kawaida.
Mi nshaswap amna 4G wala ufyuziJana nimeongea na watu wa Halotel wamesema kweli huduma hii imeanzishwa unatakiwa kuswap line yako ya sasa kuipata.Ila sio wilaya zote zimeshapata hii huduma.Nitaleta mrejesho jumatatu nikiswap lain yangu.
Dah, we jamaa bwana!Sawa chief, nitaenda kucheki mlimani city. Badae maana yule binti akiniona atanikumbuka alafu anikazie
Kwako mkuu! Pole sana...!Mi nshaswap amna 4G wala ufyuzi
niko mkoani tatizoKwako mkuu! Pole sana...!
Mpaka baadhi ya wilaya Halotel 4G ipo mkuu..!niko mkoani tatizo