Halotel wana network ya 4g??

Halotel wana network ya 4g??

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
1,312
Reaction score
947
Habari wadau ivi halotel wamezindua huduma ya 4g
IMG-20190904-WA0092.jpeg
 
Hio source inasema Wana hotspot za 4G mfano moja IPO Ngorongoro, wadau wa huko watuletee screenshot za speedtest
 
Naona Kimeo changu kimeweka 4G
Capture%2B_2019-09-05-10-53-18.jpeg
 
Hii Sasa Ni 4G mkuu, sema still disappointed na ping.

Line umepata wapi mkuu?

Pia download network signal guru ama app yoyote ya kuangalia frequency tujue wanatumia frequency gani
Jana nimeongea na watu wa Halotel wamesema kweli huduma hii imeanzishwa unatakiwa kuswap line yako ya sasa kuipata.Ila sio wilaya zote zimeshapata hii huduma.Nitaleta mrejesho jumatatu nikiswap lain yangu.
 
OK tunakusubiri kwa hamu kubwa tutakukumbusha
 
Back
Top Bottom