Halotel waleta internet ya bure

iyo ya 1000 wala usijidanganye, wana 'cap' speed unajikuta umetumia 4GB usiku wote
Nimewahi kuitumia hiyo, nilipanga mzingo kama wa gb50 kuanzia saa sita hadi 12 asubuhi nilivuta kama 35gb. Labda wamebadilikaa sasa.
 
ngoja tujarbu tutaleta mrejesho badae
hii sio kama imekuja leo wala jana wala juzi, ipo mda sasa, kama 'offer ya ramadhani' ila labda iwe baati yako, ila maeneo ya uku nilipo, kuzidi 5GB ni mbinde mno, spidi inakolea kuanzia saa 9 uko
 
hii sio kama imekuja leo wala jana wala juzi, ipo mda sasa, kama 'offer ya ramadhani' ila labda iwe baati yako, ila maeneo ya uku nilipo, kuzidi 5GB ni mbinde mno, spidi inakolea kuanzia saa 9 uko
aaaa sawa kiongoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…