Halotel waja kivingine

Inashawishi kwa wenye maeneo ambao Mtandao uko vizuri.!
 
Halotel wanachofeli ni ku limit dakika kwenda kwa halotel tu,....poor marketing strategy,leo hii Halotel Market share yao ni 9%,wakati Voda wana market share ya 32% huku tigo wana 28%,sasa hawawezi kupima kuona wateja wengi bado tupo huko,sioni ulazima wa kuhangaika na halotel kama endapo nashindwa kuwasiliana kwenda mitandao mingine ambako ndugu marafiki wamejazana huko!,they have to think twice!
 
Ebu tuweke sawa 10k ilikuwa gb6 kwa mwezi, wewe unasema 10k ni gb 15 nadhani umekosea
 
Bado vifurushi vya kwenda mitandao mingine ipo mkuu japo yawezekana sio kama Airtel.
 
Nadhani wana dakika za mitandao yote pia mbona mama yangu ana halotel huwa ananipigia
 
Ingia menu ya halopesa,kila kitu kipo hapo,majibu yote utayapata.Utajua kama nimekosea au la.
Uko sawa ipo ila ile 500 siku/mwezi halafu kuna gb15 sijaelewsijui kwa nini wameichimbia kwenye menu za ndani kabisa.

Halotel ni mtandao uko vizuri sana kwenye net. Hata vijijini youtube inatembea fresh. Hawa wengine wa mjini tu. Wanamapungufu kugawa vifurushi yaani hata ukinunua mitandao yote lazima halotel waipe fungu.

Tatizo naona watu hatujazoea kupiga simu kitumia net. Ingekuwa poa sana.

Bye bye Tigo, Voda n.k
 
Ile ya gb 15 kwa mwezi,halafu kwenye mabano 500mb kwa siku,maana yake ni kwamba kwa kila siku iendayo kwa Mungu,katika ile 15gb,kuna mb 500.
 
Tigo kwa upande wa vijijini ni full majanga.Yaani, hopeless kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…