lipingangogolo
Senior Member
- Dec 28, 2016
- 124
- 76
Yaani utadhani unachota Maji Kwa kutumia tenga la nyanya hovyo sana hawa jamaa HalotwawalatelHawa wa Vietnam's walikuja na internet nzuri ila wana wivubsa kike sasa hivi ukiweka MB 600 dakika mbili hazipiti hata kama hupakuwi vitu mtandaoni (Mmekwisha kuanza siasa na nyie)?
Nawapigia wanasema matumizi yako ni ya kawaida "wakati awali nilikuwa natumia MB 600 hadi siku nne bila kupakua chochote ila sasa hivi masaa 8 hazipo.Yaani utadhani unachota Maji Kwa kutumia tenga la nyanya hovyo sana hawa jamaa Halotwawalatel
halotel sasa wanzazingua mb zinayoyoma na pia wanakatakatambwa huyu, yeye mlinzi wa mnara anajifanya mfanyakazi wa halotel. hawezi kujibu maswali, amekimbia huyu nyau. halotel siwapendi mb zao zinakwisha kama upepo.
Wezi tu Hawa Halotel mi washankera sana tuNawapigia wanasema matumizi yako ni ya kawaida "wakati awali nilikuwa natumia MB 600 hadi siku nne bila kupakua chochote ila sasa hivi masaa 8 hazipo.
Kweli mkuu! Maana internet yao iko speed ile mbaya,na bando huwa halikai,line ya tigo nimeiweka banch,kwani hii ndo ipo slow sana kwenye internet hadi inaboa.wanaolalamika uslow wa halotel sijui watakuwa maeneo gani kwa shughuli niazotumia kwenye internet kwakupitia halotel wakifunga mtandao wao ujuwe nafunga offic
Sasa cjui inachangiwa na speed yao kuwa kubwa au la! Nimenunua line yao kwa ajili ya internet tu.kwa sababu ipo vzuri mno,ila MB hazikaiHawa wa Vietnam's walikuja na internet nzuri ila wana wivu wa kike sasa hivi ukiweka MB 600 dakika mbili hazipiti hata kama hupakuwi vitu mtandaoni (Mmekwisha kuanza siasa na nyie)?
Na mimi nilijua ni Speed ila baadae nimegundua ni wajinga tu wanakata makusudi.Sasa cjui inachangiwa na speed yao kuwa kubwa au la! Nimenunua line yao kwa ajili ya internet tu.kwa sababu ipo vzuri mno,ila MB hazikai
Hahahaaa nimecheka kama mazurimbwa huyu, yeye mlinzi wa mnara anajifanya mfanyakazi wa halotel. hawezi kujibu maswali, amekimbia huyu nyau. halotel siwapendi mb zao zinakwisha kama upepo.
true thatmb za hallotel ni fake au hewa.wakikupa GB 1 ni sawa mb 350 za mitandao mingine.kidogo tu zimeisha.poor hallotel
HahaaKwa nini mlichagua rangi ya carrot kwenye logo yenu?