Temana nao.Sasa niko google hapa nagoogke what is better than life lakini bado hawa wenye rangi ya chungwa za muheza wananibana koo
Hio hapo juu ni namba yangu nami ni maskini wa kawaida. Pengine mmeniweka kwenye listi ya kina Mengi ambao mkiwaibia hawaongei kwa sababu huenda hawalijui hilo. Mimi ni mchaga mchumi mchungu ambae hata shing mia ikipotea nitajilaumu sana.
Sasa ninapoweka bando mnalinywa kama maji ya sayona alafu nikiwapigia mnaniambia line ya chuo nashindwa kuwaelewa
Tangu jana naona mapicha picha nisiyoyaelewa kutoka kwenu. Sijawahi kutumia zaidi ya elfu moja kwenye internet ila tangu jana natumia zaidi ya 5000 naomba muitazame namba yangu tena.
Muitoe huko kwenye list ya matajiri muiweke kwenye listi ya wakopa vocha maarufu mitaani.
Niliondoka airtel kwa matarumbeta sasa naona aibu hata kujirudi
Maana naskia skuizi airtel hawabanduki ila huku kweni hii maskin tape yenu ishaloa tutahama mkiendeleza huu ujinga
Toka nimeanza kutumia mtandao wa Halotel sijapata shida yoyote kama mitandao mingine.
We, mkia kwenda zako umetumwa. Voda inaload mpaka unamaliza kuoga haijafunguka. Usifananishe bomba na mtoWATAUFYATA TU COZ WATU WATARUDI ZAO VODA AFU HALOTEL WATABAKI NA HIVYO VIDAKIKA WANAVYO LZIMISHA MNUNUAJI INTERNET AVITUMIE
utakua umejiunga juzi na haotelWe, mkia kwenda zako umetumwa. Voda inaload mpaka unamaliza kuoga haijafunguka. Usifananishe bomba na mto
utakua umejiunga juzi na haotel
miongoni kwa watu walio usifia mtandao huu nilikuwepo miongoni mwao fuatilia hilo
tunacho lalamikia sio speed bali ni kwanini watulazimishe kutumia dakika?(kitendo cha wao kuunganisha internet na dakika) kisha wapunguze MB?
AFU KIJANA JARIBU KUTUMIA LUGHA YA KISTAARABU HAPA SIO INSTAGRAM AU FACEBOOK JIHESHIMU.
Kawaida ya watanzania ndo ivo tunadanganywa na ovyo ovyo alafu tukishakolea wanatutelekeza kwenye mataaHahahhh nikikumbuka mwanzo hallotel walivyokua wanasifiwa na sasa wanavyopondwa wajitahidi wabadilike