Halotel Jamani!

Tuttyfruity

JF-Expert Member
Dec 3, 2017
2,405
6,281
Hivi hawa wachina wanashida gani. Kwanini mnatutesa wateja wenu? Hivi kweli mnashindwa kutoa angalau dakika 5 za mitandao yote pindi mteja wenu anapojiunga vifurushi vyenu?

Yaani mnatoa dakika 50 Halotel - Halotel wakati mnajua watumiaji wa Halotel tunahesabika. Acheni hizo mnaboa kinoma.

Hongera! Umepokea dk 50 (Halotel)+ SMS 500 + MB 500 hadi 12:48 12/11/2019. Asante!

Hongera! Umepokea dk 100 (Halotel)+ SMS 500 + MB 1024 hadi 19:02 17/11/2019. Asante!
 
Kama umejiunga halo kwenda halo ni kawaida labda iwe mitandao yote
 
Halafu walivyo majinga hawafanyi promo ili watumiaji tuwe wengi
Hivi hawa wachina wanashida gani. Kwanini mnatutesa wateja wenu? Hivi kweli mnashindwa kutoa angalau dakika 5 za mitandao yote pindi mteja wenu anapojiunga vifurushi vyenu? Yani mnatoa dakika 50 halotel-halotel wakati mnajiua watumiaji wa halotel tunahesabika. Acheni hizo mnaboa kinoma.


Hongera! Umepokea dk 50 (Halotel)+ SMS 500 + MB 500 hadi 12:48 12/11/2019. Asante!

Hongera! Umepokea dk 100 (Halotel)+ SMS 500 + MB 1024 hadi 19:02 17/11/2019. Asante!
 
Back
Top Bottom