muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,231
- 15,645
Kile cha wanafunzi vipi?, nako kuna gilba?..
sjamaanisha ulichoandika...nmemaanisha hesabu zake kajichanganyaSiyo kweli kwamba mleta hoja amejichanganya ni ukweli usiopingika kuwa halotel siku hizi wamepunguza vifurushi vya mb mfano kulikuwa na kifurushi cha 600mb kwa sh. 500 kwa wiki sasa hivi ni 450mb +100mb za usiku kwa sh. 500 na zinaweza kuisha ndani ya siku 3 kitu ambacho mwanzo haikuwa rahisi, sasa sijuwi ni kodi za serikali kweli au kampuni imeamuwa kuhujumu wateja baada ya kuwapata wa kutosha?
Sent using Jamii Forums mobile app
cha wanafunxzi kinasemaje pleaseRMADHANI IMEISH
JIUNGE NA KIFURUSHI CHA WANAFUNZJ SHIDA NINI
lipa pesa wewe..unataka kushinda mtandaoni ili iweje?Pamoja na vifurushi Vingine,
Kifurushi cha strimika YouTube,
Walikuwa wanatoa mb 1200 kwa sh 500.
Natumia siku nzima bila kumaliza,
Lkn Ss kwa sh 500 wanatoa mb 600 ambazo hazimalizi hata saa1' ili zimalize siku nzima mpaka ununue mara 4 kw sh 2000.
Tunaenda wapi?
Kama ni serikal kuzidisha kodi, ijitathimin.
Sent using Jamii Forums mobile app
NUNUANLINE ZA WANACHUOTUNAVIFURUSHI SAFI MB 1300/KWA 1500YZS NA DKNZANKUMWAGAcha wanafunxzi kinasemaje please
Virushi vya chuo vyenyewe ndiyo wanavipunguza na kuisha kuliko kawaida.NUNUANLINE ZA WANACHUOTUNAVIFURUSHI SAFI MB 1300/KWA 1500YZS NA DKNZANKUMWAGA
Kimaesabu haiko hivyo labda kama anasema wanamuibia hizo mb kwa namba wanamwonesha 600 lakini zisiwe sahihi katika hesabu ya kawaida kumwelewa katika hili ni shida.1) zamani MB 1200 kwa sh 500 zilikuwa zinamtosheleza kwa siku nzima.
2) kwa sasa bei imeongezeka 600MB kwa sh 500. MB hizi zingefaa azitumie kwa nusu siku kwa vile 1200MB zilikuwa siku nzima. Cha ajabu hata saa halijaisha zimeisha. Hivyo inambidi anunue vifurushi vinne kwa sh 2000 ili apate MB 2400 ndio awezetosheka siku nzima wakati zamani alitumia 500tsh MB 1200 tu.
Malalamiko yake hapo ni
1)kwanini bei ipande.
2) Anahisi kuibiwa MB kwa vile kwanini MB 1200 kwa sh 1000 kwa sasa hazimtoshelezi kama zamani?
Pamoja na vifurushi Vingine,
Kifurushi cha strimika YouTube,
Walikuwa wanatoa mb 1200 kwa sh 500.
Natumia siku nzima bila kumaliza,
Lkn Ss kwa sh 500 wanatoa mb 600 ambazo hazimalizi hata saa1' ili zimalize siku nzima mpaka ununue mara 4 kw sh 2000.
Tunaenda wapi?
Kama ni serikal kuzidisha kodi, ijitathimin.
Sent using Jamii Forums mobile app