Halotel acheni wizi wa kukata Tshs 50 kwenye vocha

Mr kilaja

Senior Member
Aug 21, 2016
110
64
Kuna wizi mpya haloteli wamekuja nao.Wanakata sh 50 mpaka sh 100 kila unapoweka vocha, halafu ukipiga huduma kwa wateja hawapokei simu au wanakublock. TCRA wapo lakini wizi unafanyika.

HALOTEL ACHENI WIZI
 
Hata voda wapo hivyo.ila ukiset sehemu hakuna kukatwa shiling nje ya kifurushi wanatulia kwa muda sijui wakoje
 
Kuna wizi mpya haloteli wamekuja nao.Wanakata sh 50 mpaka sh 100 kila unapoweka vocha, halafu ukipiga huduma kwa wateja hawapokei simu au wanakublock. TCRA wapo lakini wizi unafanyika.

HALOTEL ACHENI WIZI
Nimekuwa mteja wa halotel kwa muda mrefu, leo nimeamua kuachana nao. Majibu kwa nini ukipiga halotel unakatwa dakika za mitandao yote yameniacha mdomo wazi. Ni tatizo la miezi sasa, lakini simply wanasema wanalishughulikia.
 
Back
Top Bottom