cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
wazee shikamooni!!,wadogo zangu hamjambo!!,rika langu vipi mambo zenu!!
naombeni mnipokee ndugu yenu ktk familia tuendeleze gurudumu la JF.
ASANTENI.
asante shosti mie hata togwa kama unalo itatosha tu shosti!haya nipe habari za hapa!wote wazima!shosti karibu sana ndani ya nyumba.......utatumia kinywaji gani?
sawa ndugu naahidi kufuata masharti na vigezo vyote!Hiyo sijui ndo Avatar ni picha yako au umepaste toka kwa wengine. Karibu ila tafadhali vigezo na masharti yazingatiwe!
asante shosti mie hata togwa kama unalo itatosha tu shosti!haya nipe habari za hapa!wote wazima!
hiyo safi best air condition ya mungu jmosi inapita saafi kabisa.
break ya kwanza ilikua hapa halafu nikaenda kucheki na majirani kidogo.asante kwa ukaribisho.kabla ya hapa,ulipita kwa jirani yupi au ndo nyumba hii hii umeiona!
karibu
nitajitahidi kuchangia kila niwapo na la kuchangia.cheusimangalaaaa dah karibu jamvini hope utachangia na uhai wa jamvi hili
break ya kwanza ilikua hapa halafu nikaenda kucheki na majirani kidogo.asante kwa ukaribisho.
ngala mbona wewe iko ongea kama dugu zetu toka bombay?asante kwa kunipokea.Karibu jumbani yetu mamangala
no sipotei,im here to stay!!!!sawa eeh!Dah.safi sana umefanya chaguo lililo jema nikuombe tu usipoteee, umesikia eeh
no sipotei,im here to stay!!!!sawa eeh!
guuud! wanywa nn?
sitakusahau kwa kuniwekea senkyuu yangu ya kwanza hapa JF.barikiwa!guuud! wanywa nn?