Haloo!

Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,304
12,744
Wanajamii, nadhani kila mtu anaendelea vizuri na mihangaiko ya kuliletea taifa letu maendeleo.
Nimekuwa nikifuatilia hii forum kwa muda mrefu sana, na kwa kweli nimenufaika sana na michango toka kwenu wanajamii (mafundisho, vichekesho, n.k)
Naomba kuungana nanyi, naamini kuna mengi nitaendelea kujifunza toka kwenu kama mwanajamii.
 
Karibu ila tu usiwe unakuja mara nyingi kwa majina tofauti
 
Hellooooo Mwalimu wa ukwe wa ukweli na sie tumenufaika na hekima na busara zako tele "maujuzi" yako kibao ya pilau la Temeke :yo::yo::yo:, pilau la BBM na ugali wa mchanganyiko wa unga wa mahindi, muhogo na ngano na pia mapishi ya mlenda, mahanjumati matammatam....Wasalime wanafunzi wako wote darasani waambie shule muhimu.
 
Ngoja nifanye something I would have done back in 2009.
Karibu sana JF...

Back
Top Bottom