Geovanni Member Joined Jun 29, 2020 Posts 6 Reaction score 7 Jun 30, 2020 #1 Habari? Nimefurahi kuwa member hope there's a lot of friends, knowledge and funny thanks and love you all
Habari? Nimefurahi kuwa member hope there's a lot of friends, knowledge and funny thanks and love you all
Wang Shu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 2,562 Reaction score 3,722 Jun 30, 2020 #2 Karibu sana
Wang Shu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 2,562 Reaction score 3,722 Jun 30, 2020 #3 Mzukulu njoo huku ukaribishe watu naona tayari Mods wamefanya yao kwenye uzi wako 😂😂 mbili ndani ya dk 2 Threads mbili zimefutwa, pole sana na IQ yako kubwa.
Mzukulu njoo huku ukaribishe watu naona tayari Mods wamefanya yao kwenye uzi wako 😂😂 mbili ndani ya dk 2 Threads mbili zimefutwa, pole sana na IQ yako kubwa.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Jun 30, 2020 #4 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidipo.
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,222 Reaction score 50,170 Jun 30, 2020 #5 Karibu sana
M MakaDik JF-Expert Member Joined May 31, 2019 Posts 240 Reaction score 137 Jul 1, 2020 #6 Karibu Ndugu
Zombi Mweusi JF-Expert Member Joined Feb 9, 2017 Posts 1,076 Reaction score 2,161 Jul 1, 2020 #7 We ni me/ke
Mudawote JF-Expert Member Joined Jul 10, 2013 Posts 11,570 Reaction score 16,017 Jul 1, 2020 #8 Geovanni said: Habari? Nimefurahi kuwa member hope there's a lot of friends, knowledge and funny thanks and love you all Click to expand... Karibu ila kuna wachawi sana humu na wengi wao wapo mitaa ya ufipa. Hakikisha usiwe na ukaribu nao, watakuroga.
Geovanni said: Habari? Nimefurahi kuwa member hope there's a lot of friends, knowledge and funny thanks and love you all Click to expand... Karibu ila kuna wachawi sana humu na wengi wao wapo mitaa ya ufipa. Hakikisha usiwe na ukaribu nao, watakuroga.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,728 Jul 1, 2020 #9 Lenie said: Karibu sana Click to expand... Kwa hiyo avatar yako ukipokea wageni huwa inapendeza sana
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 8,164 Reaction score 18,671 Jul 1, 2020 #10 Karibu sana mkuu, je wewe ni Me au Ke?
P PSG Pambanaji JF-Expert Member Joined Jan 4, 2020 Posts 222 Reaction score 146 Jul 1, 2020 #11 Karibu sana mkuu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,101 Reaction score 828,958 Jul 1, 2020 #12 Geovanni said: Habari? Nimefurahi kuwa member hope there's a lot of friends, knowledge and funny thanks and love you all Click to expand... Feel at home
Geovanni said: Habari? Nimefurahi kuwa member hope there's a lot of friends, knowledge and funny thanks and love you all Click to expand... Feel at home
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,222 Reaction score 50,170 Jul 1, 2020 #13 Behaviourist said: Kwa hiyo avatar yako ukipokea wageni huwa inapendeza sana Click to expand... Kumbe eeh, ntajitahidi niwe nawapokea wageni kwa sana basi
Behaviourist said: Kwa hiyo avatar yako ukipokea wageni huwa inapendeza sana Click to expand... Kumbe eeh, ntajitahidi niwe nawapokea wageni kwa sana basi
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,101 Reaction score 181,132 Jul 1, 2020 #14 Karibu