Miaka ya nyuma sana, Mikoa fulani nilikuwa na projects za kuanzisha kumpuni ya kuhifadhi Maiti au kuzika Maiti/Bima ya kifo.
Kutokana na mizizi ya ujamaa iliyo jichimbia chini, ikabidi niweke kando project hiyo .
Ungeweka mawazo hayo au yamfanano huo ningelikuunga mkono .