Halmashauri zinakufa, Wabunge mko wapi


Tunyyyyyyyyyyyyyyoooooooooooooooooossssssssssssshhhhhhhhhhheeeeeeeeee bbaaaabbbbbaaaaaaa pia mmmmmmmmmzzzzzzzzzzzzeeeeeeeee mmmmmmmmmaaaaaaaaaaaggggggggggguuuuuuuuuu.
Bado sana hatunyooka pia hatujatia adabu tupe mambo
 
Ndo kuisoma namba huko.hakuna pesa za burebure tena mjomba ndo maana nikakwambia fanyakazi zako binafsi hachana na halmashauri

Mkuu mbona uwezo wako wa kujenga hoja mdogo kiasi hiki!!!!
Unamwambia afanye KAZI aachane na halmashauri, sasa ikiwa miongoni mwa KAZI zake ni kuihudumia (Supplying) hiyo halmashauri, huoni kwamba nae anaathirika kwa ukata wa halmashauri. Sasa kwanini asiseme kile anachoshuhudia?
 
Sasa kama Hazina haitemi na pia DED ni makada wasio na mikakati zaidi ya kuimarish achama unategemea nini?
 
Hujui kuwa kodi za majengo zimerudishwa serikali kuu?Hii mijitu mijinga ndio mtaji wa CCM maana haijui hata nini kinaendelea kazi kushabikia tu!

Pathetic!
 
Ndiyo maana wakurugenzi wamekosa kazi. Wakurugenzi wa halmashauri sasa kazi yao kubwa ni kuvizia saa 12 asubuhi kwenye vituo vya afya, hospitali na shule wachelewaji ili wawajibishe ili waonekane wanachapa kazi kumbe wanatapatapa.
 
safi sana,ni wakati mwafaka wa kufanya shughuli binafsi sasa
 
1 2 3 4 5 6 7 8 9 0....ccm mbele kwa mbele...
 
Siyo kutetea serikal tu kuna hawa wa upinzan wamepoteza mwelekeo kabsa, n bora bas ata wote wangekua wa chama kimoja tukajua hvo kulko sahz wapo tu kama hawapo
 
Siyo kutetea serikal tu kuna hawa wa upinzan wamepoteza mwelekeo kabsa, n bora bas ata wote wangekua wa chama kimoja tukajua hvo kulko sahz wapo tu kama hawapo
Unachangia mada gani,hatma ya nchi haipo mikononi mwa Mbowe,ipo mikononi mwetu
 
Mada hyo hyo... maana wao ndio wangekua watetez wetu, lakn sasa hal imekua kinyume hawako kama ilvokua zaman...

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Tumia akili wewe mlimuajiri magufuli ni wananchi na sio Lowasa ana Mbowe.muambie mama ako na Dada ako kijijini kwamba nchi inateketea wachukue hatua,Mbowe mara ngapi amepiga kelele kuvunjwa kwa katiba na halmashauri kupokwa madaraka,unajua alichokisema Heche binge liliopita kuhusu halmashauri?au unataka wasemee wapi,wao ni wakuwaamsha tu wachukua hatua wa mwisho ni nyinyi.hao hao kina Mbowe wamezuiwa kufanya mikutano nyinyi wananchi mmechukua hatua?
 
Tulia dawa ikuingie, tatizo n woga... sasa yeye amezuiwa mikutano na yeye kakubali, sasa huo n upinzan gan?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Ndo kuisoma namba huko.hakuna pesa za burebure tena mjomba ndo maana nikakwambia fanyakazi zako binafsi hachana na halmashauri
Kwani halmashauri ni kazi ya nani au ipo kwa ajili ya nani?
 
Ulisoma kabla hujapost ulichoandika? Umri wa mBUNGE unahusiana nini na Serikali Kuu kupeleka Pesa za Maendeleo kwenye Harmashauri
Hoja ni ya spika na nimemnukuu. Kama hawajajua wajibu wao kwa sababu ya ugeni, bila shaka hata kuisukuma gvt ipeleke pesa zinakotakiwa kwenda kutakuwa na walakin.
 
Hoja ni ya spika na nimemnukuu. Kama hawajajua wajibu wao kwa sababu ya ugeni, bila shaka hata kuisukuma gvt ipeleke pesa zinakotakiwa kwenda kutakuwa na walakin.
Serikali ipi unayozungumzia isukumwe...ikiwa Bunge lenyewe mtukufu kaligeuza kuwa Rubber Stamp ya Mambo yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…