Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
wewe huelewi maana ya halmashauri kuwa chini ya CDM labda nikujulishem ni zile ambazo mameya/wenyeviti wa halmashauri wanatoka CDM na siyo wabungevp Karatu, Iringa mjin, Mbeya mjini, mbozi magharibi, ubungo, kawe, hai, singida mashariki, kwa zitto...mbona wao hawajitahidi
Amedanganya kuhusu ARUSHA