kyemo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 570
- 719
Inaisha wiki ya tatu sasa nafuatlia leseni ya biashara katika ofisi za halimashauri manispaa ya kinondoni lakini ninachoambulia ni maneno yaleyale kila siku,'leseni bado hazijafika kutoka huko wanakoagiza na taarifa washatoa kwa ngazi zinazohusika''. Kiukweli mnaturudisha nyuma kimaendeleo na mnachangia umasikini kuota mizizi, jirekebisheni kazi hazifanywi kwa mazoea.