Kama MBEYA CITYArusha haina historia nzuri ya soka...
Nina wasiwasi support itakuwa ndogo na hatimaye kusiwe na mafanikio yoyote...
There is no way AFC inaweza kusaidika.
Uongozi umejaa watoto wakiswahili wasiokuwa na fikra endelevu. Wanaganga njaa na kumpinga kila anayekuja na wazo jipya. Kutwa kucha ni majungu, fitina na kukesha kuchanja mrungi
Mkurugenzi asipokuwa makini atajiabisha
Arusha haina historia nzuri ya soka...
Nina wasiwasi support itakuwa ndogo na hatimaye kusiwe na mafanikio yoyote...