Topic hapa ni kula rushwa kwa chademaKwa akili yako tu jaribu kutafakari jambo hili dogo,
1. Mwalimu wa shahada ya kwanza (Digrii ya somo la biashara au BEDCOM) kutolewa sekondari na kupelekwa kufundisha shule ya msingi katika somo la "Haiba na michezo". Hivi hapo ni kuboresha Elimu au ni kuipeleka ICU?
Takukuru walio pewa ushahidi wa kununuliwa madiwani wakaingia mitini ndiye source ya story???stupidKwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini.
Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa halimashauri hizi ziko chini ya chama kikuu cha upinzani nchini kinachojinasibu kupambana na rushwa na ufisadi.
Ikumbukwe chadema imekuwa ikitawala Arusha kwa miaka 10 sasa kupitia mbunge na madiwani wengi lakini kumbe ni wala rushwa watupu.
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa – Millardayo.com
My take.
Mara zote nimekuwa nikisema ni heri zimwi likujualo (ccm) haliwezi kukula na kukumaliza kuliko zimwi jipya (chadema) ambalo ni wala rushwa tupu na hawana huruma na mtu
Nani anapanga bajeti na kusimamia matumizi yake ?Mleta mada mjinga tu! Yaani unaitukananisha mamala za kupambana na rushwa kuwa hazitendi na kutekeleza majukumu yao ipasavyo siyo? Nani msimamizi wa makusanyo na fedha za ruzuku kwenye hizo halmashauri kama siyo wakurugenzi walioteuliwa na ccm? Nani mkuu wa wilaya hizo kama siyo wateuliwa wa ccm? Nani mkuu w mkoa huo kama siyo mteule wa ccm? Wameahindwa kazi siyo?
Madiwani na wenyeviti wa halmashauri siyo wakusanyaji wa mapato bali maafisa watendaji ambao ni wateule na waajiriwa wa ccm! Bora umesema kweli kuwa hao wateule wa ccm kazi imewashinda na wafukuzwe kazi kwa kuiendekeza na kuilea rushwa kwenye maeneo yao! Kukurupuka hadi unawashtakia ccm wenzako!
Mpuuzi kweli kumbe! Kupanga bajeti na rushwa wapi na wapi? Nitolee ujinga kifafa hapa kwani huelewi chochote zaidi ya kuchochea ujinga tu! Takukuru na mnyeti hawapo huko?Nani anapanga bajeti na kusimamia matumizi yake ?
Madiwani wa chadema
Hoja hujibiwa kwa hoja. Watu wakujenga hoja umekwisha sababu mmebaki kutegemea polisi na watu wasiojulikanaAkili za ufipa ndio zimekuwa fupi kiasi hiki??
Hutawaona hapa mkuu!!
Kuna mmoja kajitoa ufahamu kaja kurekebisha spelling za neno halmashauri!!! Teh teh teh teh teh....
BTW, agenda ya ufisadi ilishafutwa chadema baada ya mzee mammvi kuhamia huko, kwahiyo usishangae jamaa kuwa wezi na wala rushwa.
Hoja hujibiwa kwa hoja. Watu wa lumumba uwezo wakujenga hoja umekwisha sababu mmebaki kutegemea polisi na watu wasiojulikana
Hao mliowanunua kutoka cdm ndio wanaowafaa zaidi kwani ni muhimu mno kwenu! Shida yako ni kuwashtakia madiwani wa cdm ukasahau kuna vyombo vya serikali tena ya ccm wanaotakiwa kudhibiti rushwa kupigwa ganzi? Basi serikali ya ccm pamoja na gambo mmefeli hapo arusha!Kwa hiyo hamna umuhimu wa madiwani wa chadema Arusha?
Kazi ya Lema na madiwani ni kupiga kelele tu hapo Arusha ,no action takenHao mliowanunua kutoka cdm ndio wanaowafaa zaidi kwani ni muhimu mno kwenu! Shida yako ni kuwashtakia madiwani wa cdm ukasahau kuna vyombo vya serikali tena ya ccm wanaotakiwa kudhibiti rushwa kupigwa ganzi? Basi serikali ya ccm pamoja na gambo mmefeli hapo arusha!
Kazi ya Lema na madiwani ni kupiga kelele tu hapo Arusha ,no action taken
Action ya kuwatoa uhai au? Hivi wewe mwenye akili matege hujui hata maana ya kelele? Kagongee ugali wa shikamoo kule!Kazi ya Lema na madiwani ni kupiga kelele tu hapo Arusha ,no action taken
Huu Uzi umeletwa kiushabiki na kada wa ccm na ndiomaana imelenga kuwachafua CHADEMA hata hivo hawatofanikiwa kufikia nia yao ovu kwa CHADEMA . Haibu kwao ccmKuna mada zingine ukizisoma unapata picha ya mletaji ana kiwango gani cha umbumbumbu.
Sasa kama maafisa Ardhi, biashara nk, diwani ambaye sio mamlaka yake ya ajira afanyeje?
JF ya sasa kiwango kimeshuka sana below average
Na mkurugenzi ni Wa ChademaKwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini.
Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa halimashauri hizi ziko chini ya chama kikuu cha upinzani nchini kinachojinasibu kupambana na rushwa na ufisadi.
Ikumbukwe chadema imekuwa ikitawala Arusha kwa miaka 10 sasa kupitia mbunge na madiwani wengi lakini kumbe ni wala rushwa watupu.
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa – Millardayo.com
My take.
Mara zote nimekuwa nikisema ni heri zimwi likujualo (ccm) haliwezi kukula na kukumaliza kuliko zimwi jipya (chadema) ambalo ni wala rushwa tupu na hawana huruma na mtu
Inahusiana sana! Jamaa anataka kuonesha upofu wako kwa ufisadi unaoedelea ujenzi wa standard gauge na kuona "ufisadi was CDM kwenye halmashauri ya Ar" Takukuru wamenyamaza kimya kuhusu madai ya srikali kutumia kodi za walalahoi kununua viongozi wa upinzani!Hii ina mahusiano gani na topic?
Kama ambavyo chadema iliwanunua,Nyalandu, Sumaye ,Lowasa??Inahusiana sana! Jamaa anataka kuonesha upofu wako kwa ufisadi unaoedelea ujenzi wa standard gauge na kuona "ufisadi was CDM kwenye halmashauri ya Ar" Takukuru wamenyamaza kimya kuhusu madai ya srikali kutumia kodi za walalahoi kununua viongozi wa upinzani!