halmashauri arusha yaandika historia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

halmashauri arusha yaandika historia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by aspen, Aug 11, 2011.

 1. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  habari nilizozipata vile viwanja vya burka arusha vilivyoleta mushken vitagawiwa ndani ya mwezi huu na vitakuwa tayari kuanza kujengwa soon kwa waliyopata na ambao hawakupata ila kwa tulioomba na kukosa tuliahidiwa watapima kule lakelake na gomba estate then tutatakiwa kuvilipia but mpaka leo kimya kazi kwa ole madeye mbunge mteule na deputy minister wa ardhi
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ok....sasa hapa historia ipo wapi.......kama sijaelewa vile.......
   
 3. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  au umejisahau mkuu,chukua fasili ya neno historia ni matukio yalipita,yaliyopo na kutabiri yajayo
   
 4. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Umepost nini huku
   
Loading...