hallow

Ocheke

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
289
Reaction score
103
am happy to be together with ma great thinker in jamii forum
 
halaf mbona tangu mwaka jana una kapost kamoja tu wewe au umepotelewa na ka pasiwedi kako? hata hivyo karib sana huyo hapo juu ndo tracy.
 
naona password aliipangusa kipindi anapiga deki.....haya huyo hapo kabla ya hii post ndo klorokwin na kama kuna aliyeniwahi kabla ya hii post basi ni anayefuatia baada ya tracy
 
halaf jamaa anaitwa ocheke sjui kama hana DNA ya kinaijeria.

bek to ze topik: karib mheshimiwa ocheke
 
kama sio naijeria basi lazima zile kitu nyeusi nyeusi za kenya zinahusika kwenye huu uumbaji a.k.a jaluo
 
By the way guys ... I like Tracy She Looks So delicate ............!!!!!, I hope she is like this in really life....
what an angel...
 
mimi ningeomba jamaa aongeze post ya pili kutaja jinsia yake tu, si umeskia kama wamenipatia uwaziri wa mahesabu ya sensa hapa JF.
 
kaka mimi unihesabu mara mbili ilikama kuna ka mgao ka chochote niwe pazuri
 
By the way guys ... I like Tracy She Looks So delicate ............!!!!!, I hope she is like this in really life....
what an angel...
halaf haka katoto kwenye avatar kana macho udaku bana. umekashtukia?
 
itatumika fingaprinti system, labda tuchakachue kwa helizi.

kaka kuzaliwa daresalamu tu ni fom siks ukifanikiwa kumaliza la saba ni degree.....imechakachua awamu ya nne tushindwe sie?
 
hehehe tumsubirie tracy akatolee maelezo ya kukidifendi adhawaizi komenti yako itapewa hadhi ya faifu star.

itabidi amtafute yule mwanasheria sijui nani nani hiza sijui nasikia siku hizi amekosa kazi anashughulika na umbea
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…