Hallow, natafuta msichana mzuri wa kuwanae

Hallow, natafuta msichana mzuri wa kuwanae

umla hebu sasa tuongee kiume na kirafiki kabisa hizi kejeli na vijembe vipo tu kila siku, tuviweke pembeni kwanza tuongee! Si lazima ukubaliane nami lakini at least tuongee

Kwanza hatufahamiani, ila wewe unaweza kunifahamu mimi kwakuwa natumia jina na avatar halisi, kiukweli post yako ina mapungufu kadhaa kama mwamaume, inawezekana kabisa ulioverlook mabinti na members wengine wa JF ukawalingalisha na wa mitandao mingine

Huku mambo ni tofauti kidogo upo jukwaani muda mrefu, ni senior expert member kwahiyo nafikiri unanielewa, huku ni tofauti na Facebook instagram badoo nk, ambako unaweza ukapost chochote na kwa yeyote na ikawa poa tu

Huku kuna malumbano ya hoja na kufikirisha japo pia watukanifu na wajuaji hawakosekani pia, mabinti wa huku wengi upstairs wako vizuri hivyo hata approach yao inatakiwa kuwa ya makini

Wamejijenga kuwa GREAT THINKERS tofauti na kule kwingine ambako unaweza kudate dame online na the very same day ukala mzigo kwa raha zako na ikawa end of the story

Kwahiyo umla mi nakushauri tu uwe mpole kwa kila kitakachopostiwa kama mimi nimesema 'Domo zege' usikereke unaweza kupotezea au kujibu kimaskhara! JF ukitaka kushindana kujibu kila reply kwa ghadhabu matusi kejeli na vijembe unaweza kujikuta unapata shinikizo la damu kwakuwa unajibishana na watu usiowajua personality, IQ na maisha yao kwa ujumla

Mwisho naamini naamini atajitokeza/ watajitokeza watakaotaka mawasiliano nawe hao ni kivyako na tunakuombea

Baada ya kusema haya tunaweza kurudi jukwaani sasa tuone ni nani tena kareply
 
mshana jr

Kumbe ulikuwa una uwezo wa kutoa comments za kistaraabu isipokuwa uliamua kujipumbaza tu! great thinker hawatoi comments kama ulizotoa hapo awali ustaarabu ni kitu muhimu sana.
 
Last edited by a moderator:
kumbe ulikuwa una uwezo wa kutoa comments za kistaraabu isipokuwa uliamua kujipumbaza tu! great thinker hawatoi comments kama ulizotoa hapo awali ustaarabu ni kitu muhimu sana

Hahahahaaaa sawa mzee umla naona tumeelewana na tunaenda sawa sasa, sometimes don't take small things too seriously! All the same asante kwa reply yako ya kistaarabu pia japo INA kijembe cha kiaina! Its alright umla
 
Last edited by a moderator:
una laana wewe si bure na ningejua siku hiyo utazaliwa wewe bora ningemwagia nje!
Kumbe mimi nabii, nilifikiri hauko timamu, kumbe kweli. Pole kwa kukurupuka na usamehewe na Muumba wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom