L Luthershoo Member Joined Jul 29, 2013 Posts 7 Reaction score 0 Jul 29, 2013 #1 Hallo wana Jamii, Nim matumaini yangu wote mu'wazima.........Mimi ni kuku mgeni humu ndani naombeni mwongozo wenu na kamba yangu mguuni. Ramadhan Kareem.
Hallo wana Jamii, Nim matumaini yangu wote mu'wazima.........Mimi ni kuku mgeni humu ndani naombeni mwongozo wenu na kamba yangu mguuni. Ramadhan Kareem.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Jul 29, 2013 #2 vua kamba yako. nenda kaoge hapo ferry kama upo Dar utoe nuksi. Tuanzie hapo kwanza