Hallo wenye nyumba mko?

Mlamba Ndimu

Member
Aug 18, 2012
10
1
Mi naitwa Mlamba Ndimu
Ndio maana unaona sura yangu imejikunja hivyo
Mi sina lolote bana
Kumboli kumbonji tuuuuuuu
Nini jamaaaa...

haya naomba kuingia humu kwa ma great
Ili nipolish skills labda ninaweza kugeuka kuwa mlamba honey!

Ni hayo tu wakuu.
 
welcome to the house
jukwaa letu halitaki majungu,hasira wa majibu yasio na tija
ukiudhiwa unaweza kukaa kimya la sivo utafungiwa fasta
heshimu maoni ya watu kosoa kwa lugha fasaha na usikurupuke kuleta mada bila ushahidi wa kutosha.
 
Mlamba Ndimu karibu sana jamvini, lakini umesoma kanuni na sheria za humu ndani?
 
Last edited by a moderator:
karibu saqna, ila chukua muda usome sheria kuna link kwenye bar hapo juu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom