demu bomba sana ila naona mapenzi yamemchanganya mpaka kaamua kuwa msagaji sasa!!!
...Hata mimi huwa nampenda sana na haonyeshi kuzeeka. Hivi si lijifungua mtoto mwaka huu au ni mwaka jana?? alinivutia sana alipocheza filamu ya " The rich man's wife" kama mrs Potenza alikuwa hot sana kwenye ile movie!!!:bathbaby:Huyu Mwanamama huwa nampenda sana ,..
...Hata mimi huwa nampenda sana na haonyeshi kuzeeka. Hivi si lijifungua mtoto mwaka huu au ni mwaka jana?? alinivutia sana alipocheza filamu ya " The rich man's wife" kama mrs Potenza alikuwa hot sana kwenye ile movie!!!:bathbaby:
Namuonea wivu saaaaaaaana anayemnanihii........!
Namuonea wivu saaaaaaaana anayemnanihii........!
Namuonea wivu saaaaaaaana anayemnanihii........!
she is one of the most beautiful women alive
Analipa. Anastahili kwa yote mema unayoyafahamu!
sinema yake yaMONSTER'S BALL ilikua balaa!!!ndo maana alipata Oscar.