Wana JF, nikiri wazi kuwa of recent nimepoteza Imani na baadhi ya harakati za wapinzani na hasa baada ya Mh Mbowe kuwatetea majipu lakini nakiri kwa moyo Safi na kwa dhati kuwa Halima Mdee namkubali SANA kwa jinsi alivyo na ujasiri na kuendelea kupigania demokrasia na jinsi anavyoendesha siasa zake .
Heko Mh Mdee , wewe NI malkia wangu Wa nguvu , keep the pace .
You are a hero . Kwa style hiyo watoto wetu wa kike nao wana mfano wa mwanamke jasiri na mpambanaji.
Heko Mh Mdee , wewe NI malkia wangu Wa nguvu , keep the pace .
You are a hero . Kwa style hiyo watoto wetu wa kike nao wana mfano wa mwanamke jasiri na mpambanaji.