Halima Mdee waokoe Wanawake leo!

eumb

Senior Member
Apr 2, 2012
149
0
Baada hoja ya Escrow akaunti kuwasilishwa bungeni na kamati ya PAC, wabunge wamepata nafasi ya kutoa maoni yao, Lkn kilichonisikitisha ni jinsi wachangia karibia wote kwa upande wa wanawake wameshindwa kabisa kujenga hoja na kuonyesha waliingia bungeni kwa kubwebwa. Namuomba Mhe Halima leo jioni atakapopata nafasi aonyeshe tofauti kama alivyoaminiwa na Chama chake kuongoza Bawacha
 
Clkey

JF-Expert Member
May 29, 2014
5,494
2,000
Huyo namwamini sina waswasi nae c kama wale walopita utadhani waimba taarabu
 
cabhatica

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
1,077
1,225
with due respect wanajamvi, wabunge jinsia ya ke waliopata nafasi ya kuchangia kwenye sakata la escrow hadi Hawa Ghasia wameonyesha udhaifu mkubwa wa kujenga hoja na kuitetea. Kwamba wanawake wakiwezeshwa wanaweza inaweza kuwa misconception! Tusubiri na wachangiaji wengine wanawake tuweze ku-draw conclusion....japo mpaka sasa nina mashaka na njia walimopita hadi kufika mjengoni.....
 
Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
3,548
1,225
Baada hoja ya Escrow akaunti kuwasilishwa bungeni na kamati ya PAC, wabunge wamepata nafasi ya kutoa maoni yao, Lkn kilichonisikitisha ni jinsi wachangia karibia wote kwa upande wa wanawake wameshindwa kabisa kujenga hoja na kuonyesha waliingia bungeni kwa kubwebwa. Namuomba Mhe Halima leo jioni atakapopata nafasi aonyeshe tofauti kama alivyoaminiwa na Chama chake kuongoza Bawacha

Acha Upuuzi na ujinga wewe! Ktk yoote yanayotusumbua ndio umeona Wanawake tu ndio tatizo Nchi hii? Mtu yoyote yule anayeleta hoja kama hizi za kushambulia Wanawake ni mwoga wa Maisha, na ameshindwa hivyo anatafuta visingizio, kama wewe unaweza kujenga hiyo Hoja unayoiongelea Si uijenge basi ili wote tunufaike na hiyo Hoja yako?
 
Honey Faith

JF-Expert Member
Aug 21, 2013
15,792
2,000
Huwa sina mashaka na halima najua ataongea vizuri ila wale hopeless sijui hata kama wanajua sakata linavyoenda
 
webondo

JF-Expert Member
Apr 29, 2012
1,715
1,500
Acha Upuuzi na ujinga wewe! Ktk yoote yanayotusumbua ndio umeona Wanawake tu ndio tatizo Nchi hii? Mtu yoyote yule anayeleta hoja kama hizi za kushambulia Wanawake ni mwoga wa Maisha, na ameshindwa hivyo anatafuta visingizio, kama wewe unaweza kujenga hiyo Hoja unayoiongelea Si uijenge basi ili wote tunufaike na hiyo Hoja yako?
Mbona ume-panic sana! Ni jinsia ya kike weye? Nadhani mlengwa mkubwa ni Hawa Gasia, ameshindwa kujenga hoja na kuongea utumbo. Lakini haimaanishi kuwa wanawake wote si wazuri.
 
Himawari

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
2,580
2,000
Halima Mdee namkubali kwa sana tu, ana uwezo wa kujenga hoja na kuitetea/simamia vizuri. Ester Bulaya nae pia, ila kuwa ktkt ya wana-CCM mafisadi ilhali anaonyesha kupenda maslahi ya walio wengi inambidi kutumia nguvu nyingi sana ili tulio wengi tuweze kuelewa dhamira yake kuu..., vinginevyo ni kama vile samaki mmoja akioza wote wameoza!
 
mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,188
2,000
Afadhali mdee unetufuta machozi wananwake, loh! mpaka ilifikia wakati akichangia mwanamke unanyanyuka kukwepa aibu, kweli nilidhani viti maalumu ni kwa ajili ya wananume maalumu kuwatumia, alipofika Gasia sijaamini nilichokisikia. Aibu kwa mwanamke anaesifika mwingi wa huruma kutetea uchafu huu, sipati picha itakapofika 50/50 hilo bunge litakuwaje. Ndio maana yule mwingine kule UN walikataa kumuongezea mkataba. kweli maprofesa wa TZ hawavuki boda ni ndani ya njchi tu, ukivuka mpaka uprofesa unauacha TZ.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom