Halima Mdee Unachemka

Halima Mdee Unachemka

Hatuwezi kumpa tena maana hata hatujui anafanya kazi gani!

Hizi hasira na haya maswali mgeyapeleka kwa serikali ya ccm tungekua mbali, kama unalipa kodi direct na indirect kwa nn usianze kudai kodi yako kuliko kumlaumu mbunge, halafu kitu km barabara tu ya mtaa diwani anafanya nn, mbunge ana majukumu ya kisera zaidi kuliko vibara bara ambavyo hata diwani anaweza kusimamia,
 
kama ccm wametawala jimbo la kawe kwa zaidi ya miaka 45 na hawakujenga hiyo miundombinu anashangaa nn mbunge kutoweza ndani ya awamu mmoja tu uongozi.
Think critically.......
 
naona miccm mmekutana, mnajitekenya na kucheka wenyewe!

Kaka mimi co ccm na nilichoongea ni ukwel kama huamin nenda eneo la Kawe,nenda salasala,nenda Makonde na ulizia abt mbunge na utasikia wananchi watavosema
 
Hi Mh. Halima Mdee, ujue 2015 ndio hiyoo inakuja na sisi wananchi wa jimboni kwako tunakuangalia tu na promise zako ambazo unashindwa tekeleza. vitu vidogo vidogo tu vinakushinda sasa ukikosa hili jimbo lako utatulaumu?

Mwaka Jana mwezi kama wa Nne hivi kama si kosei tulikuita sisi wananchi wa Boko eneo la Magereza tena umekuja baada ya kukuita bila mafanikio kwa mara mingi, siku hiyo nakumbuka ukaja tukakutana na wewe pale Pommy Hill Club tukaongelea swala la Barabara yetu huku boko magereza. kwa Nyodo nyingi sana ukijifanya utashughulikia swala hilo na katika kile kikao ukawa mkali mkali tu,kikao kimeisha ukasema baada ya mwezi utarudi ilikutane na wamiliki wa magari yanayo beba mawe maana wao ndio wanao haribu barabara. na siku ile kuna mtu alisema wewe utuachie azimio kama baada ya huo mwezi hakuna lililofanyika tufunge barabara kwa magari makubwa ukakataa na ukasema utarudi yule mtu akarudia kusema " Nawajua wana siasa maneno mengi sana, naambia huyu harudi tena huku" na kweli alio yasema ndio yalio tokea.

Sasa angalia picha za barabara uliosema utarudi baada ya mwezi na sasa ni mwaka hatujakuona.
View attachment 147831 View attachment 147832

Mimi napenda Mageuzi sana lakini jinsi hii itabidi CDM watupe mgombea mwingine jimbo hili wewe unachemka sana. una issue kama kumi hivi ushachemka sana kama CDM hawaoni basi hili Jimbo tutalikosa wakikusimamisha wewe tena.

Asante sana.
Acha kulialia jimbo kubwa usiangalie eneo moja.
 
Kama nim kauchochoro why alikuja siku ya kwanza na kutoa ahadi hewa? Anajua hivyo vi uchochoro vina count kwenye KURA. Huu ni ukweli na ukweli huwa unauma. Kama alijua ni kazi ya DIWANI mbona hajampa diwani hilo jukumu? wote tunapenda mapinduzi ila kama kuna mtu anachelewesha mapinduzi tunamsema. kama huyu ni nduguyo basi ukamwambia haya alafu uone kama atakuambia hii kazi yake au ya diwani.

Nimrkukubali kaka.ujumbe tu halima kapata
 
ni aibu likiwanda cha wazo halikufanya environmental impact assessment tangu lianze kuzalisha, mwisho wa siku linachafua mazingira kwa kutiririsha maji machafu kwenye makazi ya watu,
pia diwani wa ccm boko anawatetea wazo cement kwa vitendo anavyofanya!
 
wakati anawaahidi watu atafanya mambo makubwa kawe aliambiwa atakusanya kodi.., don't be fanatic museven mkubwa wewe

JK amekuwa mbunge kwa miaka 19 Chalinze na sasa ni rais miaka 9 lakini Chalinze hakuna maji ya uhakika huduma za afya sio za uhakika, barabara vijijini hazipitiki n.k
 
Hi Mh. Halima Mdee, ujue 2015 ndio hiyoo inakuja na sisi wananchi wa jimboni kwako tunakuangalia tu na promise zako ambazo unashindwa tekeleza. vitu vidogo vidogo tu vinakushinda sasa ukikosa hili jimbo lako utatulaumu?

Mwaka Jana mwezi kama wa Nne hivi kama si kosei tulikuita sisi wananchi wa Boko eneo la Magereza tena umekuja baada ya kukuita bila mafanikio kwa mara mingi, siku hiyo nakumbuka ukaja tukakutana na wewe pale Pommy Hill Club tukaongelea swala la Barabara yetu huku boko magereza. kwa Nyodo nyingi sana ukijifanya utashughulikia swala hilo na katika kile kikao ukawa mkali mkali tu,kikao kimeisha ukasema baada ya mwezi utarudi ilikutane na wamiliki wa magari yanayo beba mawe maana wao ndio wanao haribu barabara. na siku ile kuna mtu alisema wewe utuachie azimio kama baada ya huo mwezi hakuna lililofanyika tufunge barabara kwa magari makubwa ukakataa na ukasema utarudi yule mtu akarudia kusema " Nawajua wana siasa maneno mengi sana, naambia huyu harudi tena huku" na kweli alio yasema ndio yalio tokea.

Sasa angalia picha za barabara uliosema utarudi baada ya mwezi na sasa ni mwaka hatujakuona.
View attachment 147831 View attachment 147832

Mimi napenda Mageuzi sana lakini jinsi hii itabidi CDM watupe mgombea mwingine jimbo hili wewe unachemka sana. una issue kama kumi hivi ushachemka sana kama CDM hawaoni basi hili Jimbo tutalikosa wakikusimamisha wewe tena.

Asante sana.
Sasa H.Mdee hana hata miaka mitano unalalamika hao waliokaa miaka 50 hamuaoni?Kwanza kazi ya kujenga barabara sio ya mbunge elewa hivyo hiyo mumueleze mkurugenzi kwanza hiyo barabara ya Tanroad au Halmashauri?Watu huku Chato kwa Magufuli tuna barabara mbovu zaidi tumetulia hatulalamiki tunajua bajeti ya kisungura kwa hiyo tuvumiliane tushazoea.
 
Kaka mimi co ccm na nilichoongea ni ukwel kama huamin nenda eneo la Kawe,nenda salasala,nenda Makonde na ulizia abt mbunge na utasikia wananchi watavosema
Sasa unaulizia hbr za mbunge kwenye mashina ya CCM unategemea nini?We umuulize Slaa hbr za Kikwete utegemee jibu Oooh is Working Hard President hahaha?
 
Hi Mh. Halima Mdee, ujue 2015 ndio hiyoo inakuja na sisi wananchi wa jimboni kwako tunakuangalia tu na promise zako ambazo unashindwa tekeleza. vitu vidogo vidogo tu vinakushinda sasa ukikosa hili jimbo lako utatulaumu?

Mwaka Jana mwezi kama wa Nne hivi kama si kosei tulikuita sisi wananchi wa Boko eneo la Magereza tena umekuja baada ya kukuita bila mafanikio kwa mara mingi, siku hiyo nakumbuka ukaja tukakutana na wewe pale Pommy Hill Club tukaongelea swala la Barabara yetu huku boko magereza. kwa Nyodo nyingi sana ukijifanya utashughulikia swala hilo na katika kile kikao ukawa mkali mkali tu,kikao kimeisha ukasema baada ya mwezi utarudi ilikutane na wamiliki wa magari yanayo beba mawe maana wao ndio wanao haribu barabara. na siku ile kuna mtu alisema wewe utuachie azimio kama baada ya huo mwezi hakuna lililofanyika tufunge barabara kwa magari makubwa ukakataa na ukasema utarudi yule mtu akarudia kusema " Nawajua wana siasa maneno mengi sana, naambia huyu harudi tena huku" na kweli alio yasema ndio yalio tokea.

Sasa angalia picha za barabara uliosema utarudi baada ya mwezi na sasa ni mwaka hatujakuona.
View attachment 147831 View attachment 147832

Mimi napenda Mageuzi sana lakini jinsi hii itabidi CDM watupe mgombea mwingine jimbo hili wewe unachemka sana. una issue kama kumi hivi ushachemka sana kama CDM hawaoni basi hili Jimbo tutalikosa wakikusimamisha wewe tena.

Asante sana.

Poleni sana;

Katika hicho kikao mlimshirikisha na DIWANI na viongozi wa Serikali ya mtaa?????

Ni watu muhimu sana katika suala kama hilo mitaani, Mbunge wakati mwingine ana mambo mengi.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
wakati anawaahidi watu atafanya mambo makubwa kawe aliambiwa atakusanya kodi.., don't be fanatic museven mkubwa wewe

Hivi na JK alitekeleza ahadi hizi?????

AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...

Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
Kulinda haki za walemavu - Makete
Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
===============================================================================================

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Halima mda mwingi hushinda Saloon akijitumbua Chunusi sugu,huku akiwaza atazaa lini maana bado ni Single
haaaaa jamani taratibu basi mbona unamtukana muheshimiwa? kwani yeye alipenda awe na chunusi???
 
Jamani mleta uzi anania njema tu kwa Mdee lakini kwa kuwa Chadema huwa wanatabia ya kudharau ushauri wa wananchi hasa wasio na majina makubwa watapuuzia. Inaweza mgharimu hii Harima japo ni miongoni mwa wabunge wa chadema ambao nawakubali kwa kuchangia hoja zenye mtazamo wa kitaifa zaidi. Mdee anajiamini na hoja zake nyingi bungeni huwa zina mashiko, asichezee kazi achezee mshahara na posho asije jilaumu kwa kupokonywa jimbo au likarudi Jembe na nyundo mwaka 2015.

AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...

Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
Kulinda haki za walemavu - Makete
Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha

---2005 Alikuja na Maisha bora kwa kila Mtanzania,hili halina ubishi lilikuwa ni changa la macho kwa Watanzania,Kama haitoshi akasema anawajua kwa majina wala rushwa,lakini hatuoni hata mmoja aliyemchukulia hatua===hii ni kutaka sifa na popularity.

(NUKUU KUTOKA KWA JF MEMBER - Bramo)
======================================================================================================
 
Last edited by a moderator:
Hizi hasira na haya maswali mgeyapeleka kwa serikali ya ccm tungekua mbali, kama unalipa kodi direct na indirect kwa nn usianze kudai kodi yako kuliko kumlaumu mbunge, halafu kitu km barabara tu ya mtaa diwani anafanya nn, mbunge ana majukumu ya kisera zaidi kuliko vibara bara ambavyo hata diwani anaweza kusimamia,
kama ccm wametawala jimbo la kawe kwa zaidi ya miaka 45 na hawakujenga hiyo miundombinu anashangaa nn mbunge kutoweza ndani ya awamu mmoja tu uongozi.
Think critically.......

Alitoa ahadi za nini wakati anajua hawezi kutekeleza?

Basi asingegombania kabisa hiyo nafasi kama kuwepo kwake au kutokuwepo hakuna impact.

Mbunge ni mwakilishi wa wananchi anatakiwa awe ndio sauti yao.

Kama alijua kwamba hiyo kazi imeshindikana kwa miaka 45 aliomba hiko kiti cha nini? atoke basi
 
Nishajua wakiweza ni wao na nguvu zao , wakishindwa ni CCM imewakwamisha!

Kama mtu ana uwezo wa kukukwamisha basi wewe ni weak hufai!
 
acha kujidhalilisha ndugu yangu.Hata,hujui kitu chochote kuhusu ubongo.Una uelewa mdogo sana rafiki.Kwa miradi ya maji ubungo kwa JJ.Mnyika inatelekezwaje? kwa Mnyika kukusanya kodi? ELIMIKA.
 
Tena nasikia Mh Mbatia anajiweka Fiti kurudi agombee kwani viti maalum vya JK ameshachoka navyo.
 
Back
Top Bottom