Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,488
- 14,868
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Ndugai alipigania haki za wabunge 19 waliokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Alipaswa aseme pia kama alikuwa akiwatafuna ama la.Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Ndugai alipigania haki za wabunge 19 waliokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Upande wake amemsifia ila upande wa pili ni kashfa.Hapo alikuwa anamsifia au anamkashifu?
PUMBAVU UNA AKILI ZA KIMALAYA MALAYA WEWE KUSIFIA UJINGA.Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Ndugai alipigania haki za wabunge 19 waliokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Bi Mdachi si atakuwepo bado?Hapo alikuwa anamsifia au anamkashifu?