Halima Mdee na wenzake 18 wapanga kuihujumu BAWACHA, washitukiwa

CHADEMA chagueni viongozi wapya wa BAWACHA na muwatambulishe kwa akina mama wenzao ili hizi abradacadabra ziishe. Au mnawasubiri akina Halima wakate rufaa myajenge na wakamate nafasi zao?

Na kama ule mchakato wa kuteua wabunge 19 wa viti maalumu ulikuwa umeshaanza internally kabla Halima hajafanya yake (kwa maelezo ya John Mrema), mnasubiri nini kuwareplace hao 19 ‘waliojipeleka’ tena kwa kufoji sahihi?

As long as BAWACHA hawana shida na Aida kuingia bungeni kwa uchaguzi ule, then hatuwezi kusema eti kupeleka wabunge 19 ni ‘kushiriki haramu’.
 
CCM wanahangaika kweli na hawa COVID -19 namna ya kutengeneza mapasuko CHADEMA ila wanakwama kila mbinu.
Hivi ww umepewa Milion 90 unalipwa Milion 11 kwa mwezi, unalipwa posho laki tatu kwa siku za vikao, utaangaika na watu wambao hawakupi anything?

Hizo ni taarifa za uongo Yan chadema Leo wanatafuta kiki in simple language
 
Kwani H. Mdee na genge lake si wameshaahidiwa kulindiwa ugali wao na Ndugai, wamesahau nini CHADEMA?
Hivi ww umelipwa Milion 90 unalipwa Milion 11 salary, bado unapewa laki tatu ya posho za vikao, bima kubwa ya afya

How wakaangaike na watu ambao hakuna kitu wanawapa?

Hiyo taarifa ni fake, now wale covid 19 wako busy wanachagua magari
 
Hivi ww umepewa Milion 90 unalipwa Milion 11 kwa mwezi, unalipwa posho laki tatu kwa siku za vikao, utaangaika na watu wambao hawakupi anything?

Hizo ni taarifa za uongo Yan chadema Leo wanatafuta kiki in simple language
Ukumbuke pia hizo ni fedha za wanyonge!!,amakweli maccm ni vichwa vya wendawazimu
 
Kwani H. Mdee na genge lake si wameshaahidiwa kulindiwa ugali wao na Ndugai, wamesahau nini CHADEMA?
Hakuna Ugali wa bure, lazima waihujumu chadema ndio kazi iliooo mbele yao.
Watihujumu vipi, wataelwkezwa na Chakubanga.
Tuwe nasubiria tu, tutayasikia na kuona mengi, toka kwa hawa Covid-19.
 
Kwani hili chama cha DJ bado kipo nikajua kimeamua to a remix za wakimbizi na waliobaki washapewa ruhusu ya mwenyekiti DJ waingie bungeni....nyumbu bana
Kipo sana mkuu.
Mi mmoja wapo Wa wanachama,sisi sio nyumbu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
CCM wanahangaika kweli na hawa COVID -19 namna ya kutengeneza mapasuko CHADEMA ila wanakwama kila mbinu.
Uchonganishi ni tabia ovu sana kwa ustawi wa jamii. Ni mbegu inayosambaa kwa kasi , mbeleni tutaijutia. Itafika hatua uchonganishi kiwe kigezo cha kupata kazi au cheo!
 
Hivi ww umepewa Milion 90 unalipwa Milion 11 kwa mwezi, unalipwa posho laki tatu kwa siku za vikao, utaangaika na watu wambao hawakupi anything?

Hizo ni taarifa za uongo Yan chadema Leo wanatafuta kiki in simple language
Hatukatai kupata hizo pesa shida ni uhalali wa kuingia huko bungeni inaenda kuwa kituko cha bunge linavyo endeshwa dunianzima
 
Back
Top Bottom