Mkiti wa cdm mkoa wa mwanza Adrian Tizeba anasema bila kuwashinda ccm kwenye serikali za mitaa safari ya ikulu itakuwa ngumu...
Katibu mwenezi bavicha simbeye anasema ukiona kijana wa umri wake yuko ccm akizeeka atakuwa mchawi
Mabalozi wa ccm wanatumika kama makarai ya zege kwani wanapewa buku tano ya kurubuni ndugu zao leo baada ya hapo magamba yanaenda Dodoma hayarudi mpaka baada ya miaka mitano