Watatuelewa Tuu mwaka huu Kamanda Crash Tuweke na pic Mkuu
Mwenyekiti wa BAWACHA Mhe. Halima Mdee muda huu wako kwenye meli ya kuelekea Ukerewe watakapokuwa na mkutano mkubwa ni kwenye operesheni FUTA DELETE kabisa CCM 2014/2015.
Kiongozi huyo wa kitaifa anaambatana na makamu mwenyekiti Hawa Mwaifunga na katibu mkuu BAWACHA Grace Tedega naibu katibu Kunti Yusuph na makamanda wengine.
Naskia kesho watakuwa mitaa ya home MAGU, Napenda kuwakaribisha sana pamoja na kwamba sitakuwepo lakini nimetoa gari yangu kwa ajili ya kuwapokea hapo Masanza.VIVA CDM
Mwenyekiti wa BAWACHA Mhe. Halima Mdee muda huu wako kwenye meli ya kuelekea Ukerewe watakapokuwa na mkutano mkubwa ni kwenye operesheni FUTA DELETE kabisa CCM 2014/2015.
Kiongozi huyo wa kitaifa anaambatana na makamu mwenyekiti Hawa Mwaifunga na katibu mkuu BAWACHA Grace Tedega naibu katibu Kunti Yusuph na makamanda wengine.
Mwenyekiti wa BAWACHA Mhe. Halima Mdee muda huu wako kwenye meli ya kuelekea Ukerewe watakapokuwa na mkutano mkubwa ni kwenye operesheni FUTA DELETE kabisa CCM 2014/2015.
Kiongozi huyo wa kitaifa anaambatana na makamu mwenyekiti Hawa Mwaifunga na katibu mkuu BAWACHA Grace Tedega naibu katibu Kunti Yusuph na makamanda wengine.
Nauliza hiviii ukawa kwa bongo watakuja lini japo ni mjini lakini huku ndio kuna vilaza kuliko hata tunavyofikiria bora mkoani wana mwamko kuliko huku mjini ni janga la mapinduzi.