Halima Mdee live on Star tv

Halima Mdee live on Star tv

anaongea siasa zaidi na bado hajaelewa maana ya mada anatakiwa kuonyesha njia na siyo kulalamika zaidi, huu siyo wakati wa kulalamika tena
 
Tune star Tv yuko live.
Hawa Wabunge mimi wananishangaza sana, Huyu Halima Mdee mwenyewe amejitwalia shamba huko Mbweni, halafu kwenye runinga analalamikia watu kumilikishwa ardhi kubwa.
 
sawa sawa nimemuelewa na nimeona namna anavyo ichambua sheria huyu mwana dada kweli ni jembe
 
Naona mdee kawagusa,matusi ya nini? Halima kaongea point tupu..mpanda waziri mkuu wamemuuzia muwekezaji miaka 99?jiulize wewe unaembeza mdee watoto na wajukuu wako,watakwenda wapi..tuacheni ushabiki ambao unatuumiza hata sisi..
 
cyo wa hvy mm buku 7 kitu gani? tatizo wana cdm huwa hamuonyeshi nn cha kufanya zaidi ya kulalamika, nani awape nchi viongozi ambao sera yao ni kulalama?
 
Mkiambiwa ukweli mnasema buku saba,akili matope kweli
 
cyo wa hvy mm buku 7 kitu gani? tatizo wana cdm huwa hamuonyeshi nn cha kufanya zaidi ya kulalamika, nani awape nchi viongozi ambao sera yao ni kulalama?

Dereva hafundishwi kuona......!
 
Hawa Wabunge mimi wananishangaza sana, Huyu Halima Mdee mwenyewe amejitwalia shamba huko Mbweni, halafu kwenye runinga analalamikia watu kumilikishwa ardhi kubwa.

Kama ni kweli hilo shamba si alipewa na serikali ya CCM magamba au alijitwalia tu? ngoja amiliki
 
mdee awe makini sana. babu slaa anamuandaa jesephine kugombea kawe mwaka 2015. huyu mama anampeleka slaa puta. hata jana niliona kwenye kongamano akimuamrisha slaa kupiga makofi. mdee linda jimbo lako usikubali kuendeshwa na padre mwenye uchu......
 
Umepata futari ya kutosha kweli maana unaweweseka sana!!
 
anaongea siasa zaidi na bado hajaelewa maana ya mada anatakiwa kuonyesha njia na siyo kulalamika zaidi, huu siyo wakati wa kulalamika tena
unafikiri kwa akili yako ungesema nini sasa!!!!????
 
Back
Top Bottom