ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
Ccm ni kama janga, wamebaki wahuni na walipuaji!
mdee awe makini sana. babu slaa anamuandaa jesephine kugombea kawe mwaka 2015. huyu mama anampeleka slaa puta. hata jana niliona kwenye kongamano akimuamrisha slaa kupiga makofi. mdee linda jimbo lako usikubali kuendeshwa na padre mwenye uchu......
Sema Dr slaa, najua huyu dr ni mwiba sana kwa maccm,sasa unaita babu kakwambia ye ni babu? Haaaaaaah haaaaaaah na 2015 tutawachoma tu,hata mkazane vp? Kila mtu aliye ccm ana asili ya uchawi
wewe ni wa kupuuzwa tu.cyo wa hvy mm buku 7 kitu gani? tatizo wana cdm huwa hamuonyeshi nn cha kufanya zaidi ya kulalamika, nani awape nchi viongozi ambao sera yao ni kulalama?
cyo wa hvy mm buku 7 kitu gani? tatizo wana cdm huwa hamuonyeshi nn cha kufanya zaidi ya kulalamika, nani awape nchi viongozi ambao sera yao ni kulalama?