Uchaguzi 2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

Taarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.
Ndio maana kwenye vikao vya ndani vya chama ilibidi Mwenyekiti Mbowe na katibu Mnyika wambembeleze sana na kumuomba afute maamuzi yake hayo.

Hii ilitokana na yeye mwenyewe kujitathimini na kuona hana cha maana cha kutuambia sisi wananchi wa Kawe na tukamuelewa kwa kuwa ahadi zote alizozitoa kwa miaka kumi yote hamna hata jambo moja lililokamilika. Ndo maana akaona ni heri akimbilie kwenye viti maalumu ili asiwe na mzigo wa kutuwakilisha sisi wananchi.

Nimejiuliza tu kama mtu hakuwa na utayari hadi kalazimishwa kutuwakilisha wananchi tuna uhakika gani na ahadi zake anazozitoa kwa sasa kama tu kwa miaka kumi alishindwa na alikuwa hajalazimishwa.
Kumbe ndiyo maana hana sera za kutuambia wana Kawe kwa sababu alilazimishwa kugombea na mbaya zaidi alivyo kutana na mzee Baba Gwajiboy ndiyo akazidi kuvurugikiwa.
 
Taarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.
Ndio maana kwenye vikao vya ndani vya chama ilibidi Mwenyekiti Mbowe na katibu Mnyika wambembeleze sana na kumuomba afute maamuzi yake hayo.

Hii ilitokana na yeye mwenyewe kujitathimini na kuona hana cha maana cha kutuambia sisi wananchi wa Kawe na tukamuelewa kwa kuwa ahadi zote alizozitoa kwa miaka kumi yote hamna hata jambo moja lililokamilika. Ndo maana akaona ni heri akimbilie kwenye viti maalumu ili asiwe na mzigo wa kutuwakilisha sisi wananchi.

Nimejiuliza tu kama mtu hakuwa na utayari hadi kalazimishwa kutuwakilisha wananchi tuna uhakika gani na ahadi zake anazozitoa kwa sasa kama tu kwa miaka kumi alishindwa na alikuwa hajalazimishwa.
Kwa miaka kumi hujafanya chochote na huku umekula hela zetu
 
Chama kinachofanya ni makosa maana haya ni maisha ya wananchi wenye familia na wenye kuijenga nchi hatuwezi kumchagua au kumpitisha kiongozi ambaye hata yeye hajiamini kama anauwezo wakuvusha wengine
 
Taarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.
Ndio maana kwenye vikao vya ndani vya chama ilibidi Mwenyekiti Mbowe na katibu Mnyika wambembeleze sana na kumuomba afute maamuzi yake hayo.

Hii ilitokana na yeye mwenyewe kujitathimini na kuona hana cha maana cha kutuambia sisi wananchi wa Kawe na tukamuelewa kwa kuwa ahadi zote alizozitoa kwa miaka kumi yote hamna hata jambo moja lililokamilika. Ndo maana akaona ni heri akimbilie kwenye viti maalumu ili asiwe na mzigo wa kutuwakilisha sisi wananchi.

Nimejiuliza tu kama mtu hakuwa na utayari hadi kalazimishwa kutuwakilisha wananchi tuna uhakika gani na ahadi zake anazozitoa kwa sasa kama tu kwa miaka kumi alishindwa na alikuwa hajalazimishwa.
Kwa sera anazotuletea huku kwenye kata zetu inaonekana kabisa hakujipanga kugombea maana anaongea porojo ambazo hatuzielewi.
 
Taarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.
Ndio maana kwenye vikao vya ndani vya chama ilibidi Mwenyekiti Mbowe na katibu Mnyika wambembeleze sana na kumuomba afute maamuzi yake hayo.

Hii ilitokana na yeye mwenyewe kujitathimini na kuona hana cha maana cha kutuambia sisi wananchi wa Kawe na tukamuelewa kwa kuwa ahadi zote alizozitoa kwa miaka kumi yote hamna hata jambo moja lililokamilika. Ndo maana akaona ni heri akimbilie kwenye viti maalumu ili asiwe na mzigo wa kutuwakilisha sisi wananchi.

Nimejiuliza tu kama mtu hakuwa na utayari hadi kalazimishwa kutuwakilisha wananchi tuna uhakika gani na ahadi zake anazozitoa kwa sasa kama tu kwa miaka kumi alishindwa na alikuwa hajalazimishwa.
Tumekushtukia mdee unataka urudi tena huku nakati kata ya Mbweni hujafanya chochote katika hilo hatutakuchagua tena halima
 
Kawe tunahitaji maendeleo na kiongozi mwenye mapenzi ya kweli na kawe kama hauna mapenzi na mtu kamwe huwezi mjali hvyohvyo hata jimbo kama halitapata mtu mwenye uchungu nalo maendeleo tutayasikia tu Halima kapumzike Sasa maana umechoka Mama miaka 10 pia sio mchezo
 
Lakini bora alijua mapema hivi assume sahvi unapita kule mbweni halafu unamwaga sera zako na kujifanya mzalendo nani atakuelewa kweli.. hata maji ya bomba tu ameshindwa kutuletea aseeh
 
Taarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.
Ndio maana kwenye vikao vya ndani vya chama ilibidi Mwenyekiti Mbowe na katibu Mnyika wambembeleze sana na kumuomba afute maamuzi yake hayo.

Hii ilitokana na yeye mwenyewe kujitathimini na kuona hana cha maana cha kutuambia sisi wananchi wa Kawe na tukamuelewa kwa kuwa ahadi zote alizozitoa kwa miaka kumi yote hamna hata jambo moja lililokamilika. Ndo maana akaona ni heri akimbilie kwenye viti maalumu ili asiwe na mzigo wa kutuwakilisha sisi wananchi.

Nimejiuliza tu kama mtu hakuwa na utayari hadi kalazimishwa kutuwakilisha wananchi tuna uhakika gani na ahadi zake anazozitoa kwa sasa kama tu kwa miaka kumi alishindwa na alikuwa hajalazimishwa.
Kama kiongozi anayeaminika anaweza kutatua matatizo lkn anashindwa hata kumaliza migogoro mfano kwa watu wa gereji ataweza wap kutuongoza na ninafikiri kushindwa kawe kutekeleza majukumu ndio sababu ya yeye kukataa kugombea.
 
Taarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.
Ndio maana kwenye vikao vya ndani vya chama ilibidi Mwenyekiti Mbowe na katibu Mnyika wambembeleze sana na kumuomba afute maamuzi yake hayo.

Hii ilitokana na yeye mwenyewe kujitathimini na kuona hana cha maana cha kutuambia sisi wananchi wa Kawe na tukamuelewa kwa kuwa ahadi zote alizozitoa kwa miaka kumi yote hamna hata jambo moja lililokamilika. Ndo maana akaona ni heri akimbilie kwenye viti maalumu ili asiwe na mzigo wa kutuwakilisha sisi wananchi.

Nimejiuliza tu kama mtu hakuwa na utayari hadi kalazimishwa kutuwakilisha wananchi tuna uhakika gani na ahadi zake anazozitoa kwa sasa kama tu kwa miaka kumi alishindwa na alikuwa hajalazimishwa.
Kitakachotokea sasa hivi ni aibu kwa mdee maana atatamani angesikiliza mawazo yake na siyo ya watu wengine
 
Taarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.
Ndio maana kwenye vikao vya ndani vya chama ilibidi Mwenyekiti Mbowe na katibu Mnyika wambembeleze sana na kumuomba afute maamuzi yake hayo.

Hii ilitokana na yeye mwenyewe kujitathimini na kuona hana cha maana cha kutuambia sisi wananchi wa Kawe na tukamuelewa kwa kuwa ahadi zote alizozitoa kwa miaka kumi yote hamna hata jambo moja lililokamilika. Ndo maana akaona ni heri akimbilie kwenye viti maalumu ili asiwe na mzigo wa kutuwakilisha sisi wananchi.

Nimejiuliza tu kama mtu hakuwa na utayari hadi kalazimishwa kutuwakilisha wananchi tuna uhakika gani na ahadi zake anazozitoa kwa sasa kama tu kwa miaka kumi alishindwa na alikuwa hajalazimishwa.
Daaah! Kumbe Halima alilazimishwa kugombea Ubunge?
Aisee Viongozi wa hichi chama siyo powa kabisa bora tu wangemuacha maana amekuja kukutana na Gwajiboy ndiyo amezidi kumchanga akili.
 
Sauti ya Zege kikowapi tamaa mbele mauti nyuma achakufanya mambo bila kuwaza mala mbili taama zako zilikufanya usitutimize yale ulio aidi kwa wanakawe sisi hatutaki kukuona maana ndani ya miaka kumi toka ulivyo sema utatatua kero ya maji machafu yanayo toka kiwandani mpaka leo alf bado unakuja kuomba kura sahau kuzipata
 
Hizi I'd ni so lovely! Unaweza kukuta mimi ni mchangiaji wa tatu kwenye huu uzi!

Uzi wowote wa kumponda Halima lazima uwe na I'd mpya pamoja na asilimia 99 ya wachanguaji.
Ufufuo na uzima hoyeeeeeee

Hata mimi nimeshangaa! Karibia ID zote ni mpya!! Yaani yule mcheza filamu za ngono anapata kabisa ujasiri wa kuweka wapambe wake mpaka kwenye mitandao kumpigia kampeni!

Watu wa Kawe wataishangaza dunia kumchagua Gwajima aisee!!
 
Kwanini hizi ID zinazomandama Halima nyingi zimejiunga baada ya uteuzi wa Gwajima? Is it just a coincidence?
 
Hata mimi nimeshangaa! Karibia ID zote ni mpya!! Yaani yule mcheza filamu za ngono anapata kabisa ujasiri wa kuweka wapambe wake mpaka kwenye mitandao kumpigia kampeni!

Watu wa Kawe wataishangaza dunia kumchagua Gwajima aisee!!
Huoni kama ww ndo unashangaza
 
Halima wanakawe walikuamin sana na walikupenda kwasababu mwanzo ulionyesha nia ya dhati kabsa ya kuleta maendeleo kawe lakin sasa hata sera zako hazina mashiko kwenye kampeni zako n majungu na malalamiko badala ya kusema utafanya nin kuwaletea wanakawe maendeleo ambayo umeshindwa kwa miaka 10
 
Back
Top Bottom