Halima Mdee kafunika Geita

Halima Mdee kafunika Geita

Matumizi sahihi ya Ruzuku ni yapi? Pengine labda unapendekeza vyama vya siasa visipewe ruzuku kabisa?


Duuuuuuuu.....kazi kweri kweri.....!!! Kumbe mizunguko ya hawa jamaa wa vyama ni kwa ajili ya kumaliza ruzuku ya vyama vyao....Kumbe Nape na Kinana walizikomba nyingi eheeeeeeeeeeee...!! Kweli watz tunaibiwa sana eeee...hizo pesa za mizunguko si zingeweza kuingizwa kwenye huduma za afya....!! WOTE NYIE WEZI TU, CDM WEZI na CCM WEZI...
 
Halima Mdee na genge lake naona wameamua kumkomoa Mbowe ..Wanakula posho tu kila siku mpaka wahakikishe account ya ruzuku ya chama imefilisika.. Mbowe safari za Dubai zitapungua sana

Dada wivu umekushika kama vipi wasiliana nae upate ofa ya dubai,
 
Tabby...nahisi hukuielewa hoja yangu...mimi nilikuwa najaribu kumuelewesha laki si pesa awe makini na ujenzi wa hoja zake...asiwe bias...
 
Wanakuteteta wewe na wenzako mlio na bongo lala....mafisadi ni nyie mnaodhani kuwa kiongozi ni ufisadi..rasilmali mnazopigania ukiambiwa zionyeshe chache tu na jinsi zinavyoliwa utakosa ushahidi utabaki na labda kasema halima mdee...upumbavu wa kujifanya mpigania rasilmali na kutaka kuwadanganya watu kuwa mdee kafunika wakati picha zenyewe zinajieleza hauwezi kukubalika na watu makini...wanaokutetea kwa unayodai ni katiba mbovu ndio haohao waliotunga sheria ya kuundwa katiba mpya wakatengeza na kanuni kwa siku zaidi ya sitini, wakashiriki vikao na baada ya kuona hawana jinsi ya kugawiwa madaraka wakasusa, lakini waliokuwemo bungeni ni wale ambao kura yako na yangu ziliwaingiza kule na wameitekeleza sheria mpaka hatua inayostahili na imebaki hatua ya mwisho ambayo ni kura yako.....hao wanaokkutetea hawawezi kuibadili katiba ila wanaweza kukushawishi wewe na wenzako wachache mkapiga kura ya hapana lakini SISI WENGI TUTAPIGA KURA YA NDIYO.....
kaka hatupo hapa kwa ajili ya kulinganisha idadi ya watu.tupo kwa ajili ya kupigania rasilimali zetu zinavyoliwa na mafisadi halafu wewe unaleta ushabiki wa kipumbavu,watu wanatutetea sisi wananchi juu ya katiba mbovu ya ccm wewe unashabikia upuuzi.kweli kuna watu bado mna upeo mdogo wa kufikiria.Tafakari kabla hujabwabwaja upuuzi
 
Halima Mdee na genge lake naona wameamua kumkomoa Mbowe ..Wanakula posho tu kila siku mpaka wahakikishe account ya ruzuku ya chama imefilisika.. Mbowe safari za Dubai zitapungua sana

ulitakaje we MESENJA WA LUMUMBA
 
I doubt kama hii mikutano ya CDM ina tija yoyote kwao. Kupiga tu mkutano na kuondoka bila kuwa na mikakati imara ya ndani ya kuwashirikisha viongozi wa chini walio karibu na wananchi itawa-cost kwenye uchaguzi ujao wa serikaliza mitaa.

Huu ulikuwa ni wakati wao wa kuimarisha ile kauli mbiu yao ya CDM ni msingi...Ingewajenga zaidi tofauti na hii mikutano ya mijini ya TWO HOURS then wanasepa....

NI USHAURI TU.
 
Back
Top Bottom