Halima Mdee kafunika Geita

Halima Mdee kafunika Geita

karekwachuza

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
999
Reaction score
335
Kweli tumepata jembe BAWACHA,ni mkutano mkubwa uliofanyika hapa Geita chini ya makamanda Halima Mdee,John Heche,kamanda Mawazo,katibu wa BAVICHA Taifa,Makamu mwenyekiti BAVICHA Taifa na wengine waliokuwa kwenye msafara.Peoples power
attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • mdee1.jpg
    mdee1.jpg
    58.5 KB · Views: 531
  • mdee2.jpg
    mdee2.jpg
    76.7 KB · Views: 435
Safi sana, na maccm yakiruhusu tu watu wajiandikisha. Ndio litakuwa ni kabutibla maccm
 
Halima Mdee na genge lake naona wameamua kumkomoa Mbowe ..Wanakula posho tu kila siku mpaka wahakikishe account ya ruzuku ya chama imefilisika.. Mbowe safari za Dubai zitapungua sana
 
Duuuuuuuu.....kazi kweri kweri.....!!! Kumbe mizunguko ya hawa jamaa wa vyama ni kwa ajili ya kumaliza ruzuku ya vyama vyao....Kumbe Nape na Kinana walizikomba nyingi eheeeeeeeeeeee...!! Kweli watz tunaibiwa sana eeee...hizo pesa za mizunguko si zingeweza kuingizwa kwenye huduma za afya....!! WOTE NYIE WEZI TU, CDM WEZI na CCM WEZI...
 
Halima Mdee na genge lake naona wameamua kumkomoa Mbowe ..Wanakula posho tu kila siku mpaka wahakikishe account ya ruzuku ya chama imefilisika.. Mbowe safari za Dubai zitapungua sana

Sio lazima kila Thread uchangie kwani hiki ulichokiandika ni UPUUZI ambao umeshindwa kufikiria jinsi Nepi na Kinana walivyozunguka nchi nzima na pia ziara za Kikwete kule China wote hawa wanatumia fedha za Serikali kufanya ziara zao na fedha zote hizo wanaiba kule BOT na ndio maana wamepitisha Kipengere cha BOT kutoweza kuhojiwa wala kushitakiwa katika hilo likatiba lenu huku mkisahau kuwa nyie maCCM hamna hati miliki ya kuliongoza taifa hili.
 
Mpaka kitaeleweka safari hii kazi hipo ukishuka nchale ukipanda nchale!!!
 
Dah wewe kweli kilaza....watu wenyewe hamsini na zaidi kidogo ndio maana umetuletea picha ulizokata halafu unatudanganya ati kafunika geita....subiri mkutano wetu keshokutwa halafu linganisha picha zako na zetu...
Kweli tumepata jembe BAWACHA,ni mkutano mkubwa uliofanyika hapa Geita chini ya makamanda Halima Mdee,John Heche,kamanda Mawazo,katibu wa BAVICHA Taifa,Makamu mwenyekiti BAVICHA Taifa na wengine waliokuwa kwenye msafara.Peoples power
 
Dah wewe kweli kilaza....watu wenyewe hamsini na zaidi kidogo ndio maana umetuletea picha ulizokata halafu unatudanganya ati kafunika geita....subiri mkutano wetu keshokutwa halafu linganisha picha zako na zetu...

Binti anajitahidi kazi yake iko siku itaeweka kwa wengi katika historia ya nchi hii katika harakati za wamama kuleta mabadiliko chanya ya jamii yetu
 
Dah wewe kweli kilaza....watu wenyewe hamsini na zaidi kidogo ndio maana umetuletea picha ulizokata halafu unatudanganya ati kafunika geita....subiri mkutano wetu keshokutwa halafu linganisha picha zako na zetu...
kaka hatupo hapa kwa ajili ya kulinganisha idadi ya watu.tupo kwa ajili ya kupigania rasilimali zetu zinavyoliwa na mafisadi halafu wewe unaleta ushabiki wa kipumbavu,watu wanatutetea sisi wananchi juu ya katiba mbovu ya ccm wewe unashabikia upuuzi.kweli kuna watu bado mna upeo mdogo wa kufikiria.Tafakari kabla hujabwabwaja upuuzi
 
Wembe ni ule ule kuhakikisha haya mafisadi tunayafurumusha hapo magogoni,people"zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Halima Mdee na genge lake naona wameamua kumkomoa Mbowe ..Wanakula posho tu kila siku mpaka wahakikishe account ya ruzuku ya chama imefilisika.. Mbowe safari za Dubai zitapungua sana

Wewe na genge lako mnateketeza pesa za mamvi si hatusemi
 
Halima Mdee na genge lake naona wameamua kumkomoa Mbowe ..Wanakula posho tu kila siku mpaka wahakikishe account ya ruzuku ya chama imefilisika.. Mbowe safari za Dubai zitapungua sana

Wivu wa kipuuzi huo, mbona kinana na nape wanakula ruzuku ya watanzania maskini? maana ruzuku ya chama walishamaliza zamani sana na ziara zao hazina tija kwa wananchi, ila zinatujulisha jinsi walivyo mizigo wengi ndani ya chama ccm, na kutuonyesha umaarufu wa nape wa kutukana, aibu tupu.
 
Azungukezunguke huko tu, lakini ajue Kawe kunateketea.
 
Wewe laki si pesa vipi leo utaonekana pale kona bar kiwanja chako cha kazi usiku wa manane?
 
Back
Top Bottom