Yeeeeeeeeeees Halima big up, nimeipenda sana hio kwamba maskini wanaolia kuonewa na matajiri wachache wanao uwezo wakufanya mabadiliko ktk uongozi wa nchi mwaka huu. Hivi kweli mtanzania unajua maisha bora yapo mikononi mwako mwenyewe? Hebu amua leo,chukua hatua tumekiri wenyewe maskini ni wengi kuliko matajiri kumbe sisi ni matajiri ktk sanduku la kura.Na ninyi maskini mnaodhani CCM ni Nyerere mwaka huu kumbukeni hata Nyerere alishasema CCM sio mama yake.
Though sijui wasifu wake,Lakini kwa kweli mchango wake katika bunge lililokwisha sote tumeuona labda kwa wale ambao siasa kwao huanza kupata maana wakati wa kampeni na uchaguzi tu!
Nimekuwa nikijiuliza mbona hatusikii kampeni zake huko Kawe?
Napenda nimpe ushauri wa bure huyu dada yangu.Ni kweli yeye ni rare combination ya B&B (Beauty and Brains) na anaweza kwenda mbali kisiasa kwa vile ameingia kwenye siasa mapema na ana uwezo wa kuchanganua na kusimama kwa ujasiri.However,Siasa za majimboni zinamtaka ajitoe hasa,Kupigana kwenye jimbo si lelemama.Ni shughuli pevu na katika siasa (hasa hizi zetu!) si guarrantee kwamba aliye bora ndiye anayepita!!Vinginevyo akina Kikwete and Co wasingalikuwepo madarakani!!
Anatakiwa awazidi ubunifu wapinzani wake,Na kwa vile Kawe ni jimbo lililoko mjini atumie non traditional avenues kama internet (Websites and blogs) kujitangaza na kuaininsha ujumbe wake kwa wanajimbo lake.Onekana zaidi mama, touch base na grass roots.Angalia demographics za constituents wako ili ujipange kuwafikia kwa karibu zaidi.
Lastly,We can use every constituent we can lay our hands on!So elewa kuwa this battle si kwa ajili yako na jimbo lako tu bali ni sehemu ya muhimu ili kufikia ushindi mama tunaoutarajia kwa Dr.Slaa.
Aluta kontinua.
:llama:
"True freedom must be expressed through the human ability to think critically, to analyze and to make informed decisions about oneself, his society and the world " - Sidanganyiki2010
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.