Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,535
aibu kivpi na ufisadi umeingiliaje kwenye mambo ya kupiga kura, hapa linaongelewa hujuma, udhalimu na uhabithi mnaowafanyia wapinzani, hebu acheni haki bin haki itendeke na mtu ashindwe au ashinde bila kutumia udhalimu, lakini kwa kutumia risasi tena za moto halafu mnasema aibu kwa upinzani ambao hawana hata penseli kama silaha ya kujilinda aibu gani mkuuAliyoyaandika, kama yaje Halima, JF siyo jukwaa sahihi la kupigia Kampeni. Yote aliyoyasema, jukwaa sahihi ni la hadhara na mengine yafikishwe kwenye vyombo husika vya kulinda haki na usalama wa kila raia.
Mh Mdee, kama mbunge, anavijua hivyo vyombo, na sheria husika. Uropojaji hovyo, siyo tu anajivunjia heshima, anaaibisha CHADEMA, chama chenye jina la kuheshimu misingi ya demokrasia.
Mh Mdee, kama walivyo viongozi wote wa CHADEMA, haeleweki anasimamia na kutetea nini? Agenda ya ufisadi imetupwa. Kudai Katiba kumewekwa kando. Kusimamia na kuishi kidemokrasia, kwao ni wimbo.
AIBU TUPU KWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI