kama watanzania wote wakiwemo wana ccm na wanachadema na vyama vyote pia wakiwa wanajadili mambo kwa uhalisia wake nadhani tungekuwa tunapata viongozi waadilifu sana tena sana. Tatizo kubwa na linalo nipa shida ni ile hali ya kujadili mambo kiitikadi! Nimeipenda comment yako mkuu ten sana.Wajua Mtani kila mtu na anavyoangalis Taifa letu linapoelekea, kwa wengine tunaona mwisho wa hili si mzuri.Hatukuhitaji serikali ziwe ngapi tulihitaji japo safari hii watawala watusikilize kilio chetu, hatuhitaji tena viongozi wasio na uwezo, wezi, wala rushwaill mafisadi leo ndio hawa wanatuletea maelekezo yao kwamba nyie watawaliwa hamjui mkitakacho ila watawala wanajua.Ndiyo sababu yote ya kumweka Mtani wangunhuyu huko KEKO!
kama watanzania wote wakiwemo wana indticm na wanachadema na vyama vyote pia wakiwa wanajadili mambo kwa uhalisia wake nadhani tungekuwa tunapata viongozi waadilifu sana tena sana. Tatizo kubwa na linalo nipa shida ni ile hali ya kujadili mambo kiitikadi! Nimeipenda comment yako mkuu ten sana.
Kuhakiki ni utaratibu wa kawaida kwa mahaka,
inawezekn mjia tu yameandwa lkini hawakuwa na tarifa kuwa wao ni wadhamini,
Acha upotoshaji
Halima Mdee ni mbunge wa Jamhuri ya Tanzania kwa aina ya kesi waliyomshtaki hakimu anayo mamlaka ya kumwambia ajidhamini mwenyewe. Ila kwa sababu ni mambo ya kupangwa yana mwisho haya.
Wewe unawashwa nini wakati mwenyewe amesema ameenda kula bata?
Mama Mingoi wapi Leo twang a mnatumbuiza?