Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
- Thread starter
-
- #41
Sawa kachukue mshahara wako lumumba makosa mliyofanya Ccm kwa miaka 50 mnataka chadema wayamalize kwa miaka 3 hilo aliwezekani na kama wewe ni mwana kawe utakuwa ni shahidi Mdee amejitahidi sana kuboresha miundomini afya na elimu bila kusahau mgogoro wa ardhi huko twiga cement
Chadema mkipewa nchi mtavurunda then mtakuja na stori ya kipuuzi ya ccm kukaa madarakani miaka 50
anamaanisha kashatiwa mimba.
Nalog off
Hahahaha! Wewe ni mgeni katika mambo ya siasa ndugu kwa hiyo kaa kimya tu ili halima mdee aendelee kupiga kaz. Sisi tunamuona anapiga kaz kama kawa
Nini sababu ya mbunge kutoka Kawe ''HALIMA MDEE'' Kuwa kimya kiasi hicho, maana yake ni kwamba hana jipya? au yeye hafanyi kazi na media ila anafanya kimya kimya?
Binafsi natilia shaka uwezo wa Halima Mdee kama anaweza kushindana kwa hoja na Mbatia japokuwa alimbwaga kwenye uchaguzi mkuu uliyopita, BILA USHABIKI Mdee alishinda uchaguzi uliyopita sababu ya chama chake kuvuma sana si kweli kwamba alikuwa ana hoja nzito kushinda Mbatia..........
Halima Mdee atarudi kweli bungeni mwaka 2015?
NAWASILISHA.
Ha ha ha haha..kwahiyo kazi ya mbowe ni moja tu?!
yote tisa,safari hii Nape na Kinana wamenasa kwenye m.k.u.n.d.u. wa ndovu chini hawakanyagi maini hawagusi kimyaaaaaa! chezea chama mzigo weye!?
Kwisha habari yake hata afanye nini bidhaa isiyo na soko imeisha muda wa matumizi.
nyie c mnateua mizgo.
Jamani mwacheni Halima atulie zake wanaume walishamvimbisha tumbo
kama wewe ulivyotoa mimba nane.
Debe tupu haliachi kutika. Halima sio debe tupu mpaka asemeseme ovyo
Kwisha habari yake hata afanye nini bidhaa isiyo na soko imeisha muda wa matumizi.
Mbowe.....?