marveljt
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,503
- 1,479
Rudia kusoma ulichoquoteTu tukakavue nini?

Hiki ndicho alichoulizwa Halima Mdee
Majibu yake
Halima Mdee yule mwenye sauti Kavu na Mbunge wa Kawe.
Acha ujinga kijana . . , Taifa au nchi haindeshwi na Mkuu wa Mkoa na Raisi peke yao, rudi shule kijana . .Sio siri bungeni wapo wabunge fisadi wengi, wavuta bangi wengi tu na wabwia unga cocaine etc wapo. spika ndugai mwenyewe kashatujulisha wapiga kura ili tukae tukijua.
hivi juzi wananchi tumeshangaa kuona bunge likimzingira makonda na kupata kiwewe kwa kampeni aliyoanzisha kupambana na watumiaji na wauzaji wa madawa ya kulevya. mbunge eti ananyanyuka anasema kwa kua mtu fulani hajatajwa makonda akamatwe. halima mdee mbunge wa kawe anasema bungeni eti mamlaka ya kupambana na madawa ya kulevya haikupewa hela za maendeleo hata senti kwa nini inaanzisha jambo hawaliwezi. tena anaongea kwa jazba dhidi ya operation hiyo labda ni kwa vile mdogo wake vanessa mdee ametajwa na makonda. mdee ni mwanasheria. hivi hela ya maendeleo si inajenga majumba etc ina uhusiano gani kuzuia wazungu wa unga kushikwa. hatuna wabunge ila watu binafsi wenye kutetea maslahi yao binafsi bungeni. tuliona jinsi operation tokomeza ilivyohujumiwa na wabunge na kumgeuzia kibao waziri kagasheki hadi kumlazimu kujiuzulu. hivi tukisema bunge sasa ni genge la wapinga maendeleo tutakua tumekosea..mungu apishilie mbali. mungu amtie nguvu makonda mungu amtie nguvu rais wetu jpm ili taifa lishinde
vita hii ya madawa ya kulevya. p/se wakuu jf huu uzi usiwekwe kapuni
Mkuu,ndio shida ya vijana wa daslam hiyo, ingekuwa uamuzi wangu ningefukuza wakazi wote wa daslam halafu napanda mianzi ya ulanzi kote...
ok lakini nchi haiendeshwi na wauza madawa ya kulevya.Acha ujinga kijana . . , Taifa au nchi haindeshwi na Mkuu wa Mkoa na Raisi peke yao, rudi shule kijana . .
We kitaa unauza nyago?Hata hivyo ni kazee hako, hakana dili kabisa kitaa siku hizi
Kilaza mkubwaa wee,Sio siri bungeni wapo wabunge fisadi wengi, wavuta bangi wengi tu na wabwia unga cocaine etc wapo. spika ndugai mwenyewe kashatujulisha wapiga kura ili tukae tukijua.
hivi juzi wananchi tumeshangaa kuona bunge likimzingira makonda na kupata kiwewe kwa kampeni aliyoanzisha kupambana na watumiaji na wauzaji wa madawa ya kulevya. mbunge eti ananyanyuka anasema kwa kua mtu fulani hajatajwa makonda akamatwe. halima mdee mbunge wa kawe anasema bungeni eti mamlaka ya kupambana na madawa ya kulevya haikupewa hela za maendeleo hata senti kwa nini inaanzisha jambo hawaliwezi. tena anaongea kwa jazba dhidi ya operation hiyo labda ni kwa vile mdogo wake vanessa mdee ametajwa na makonda. mdee ni mwanasheria. hivi hela ya maendeleo si inajenga majumba etc ina uhusiano gani kuzuia wazungu wa unga kushikwa. hatuna wabunge ila watu binafsi wenye kutetea maslahi yao binafsi bungeni. tuliona jinsi operation tokomeza ilivyohujumiwa na wabunge na kumgeuzia kibao waziri kagasheki hadi kumlazimu kujiuzulu. hivi tukisema bunge sasa ni genge la wapinga maendeleo tutakua tumekosea..mungu apishilie mbali. mungu amtie nguvu makonda mungu amtie nguvu rais wetu jpm ili taifa lishinde
vita hii ya madawa ya kulevya. p/se wakuu jf huu uzi usiwekwe kapuni

kama huoni point wee ndio kilaza mkubwa au ni muuza madawa ya kulevyaKilaza mkubwaa wee,
Unaona kuna point umeweka hapo?? F***k u![]()
![]()
Halima Mzee ndiyo nani Mkuu? Hebu punguza kuweweseka na watu wa CHADEMA. Unapoteza network