GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

tuseme ukweli mwaka huu hatuna mtu anayefaa....hata Gwaji boy ni kimeo kabisa
 
Jamani ni jambo la furaha sana Halima ananza kwenda shule ya mapishi kwajili ya kujiandaa na kuolewa
 
Bai bai mke mtalajiwa wa mtu uliandaliwa na Mungu au unasema ? mchumba ambaye hakufanya mabadiliko yeyote Kawe
 
katika pitapita zangu leo zakusoma vitabu nimekutana na kitabu kimoja cha Halima ya vitu vilivyo andikwa humo ni utapeli mtupu
 
Kifo cha siasa ni sawa sawa na mtu anayezikwa [emoji23] pumzika kwa amani Halima Mdee mtaonana na wale mliokuwa mnakula nao hela za wanakawe motoni
 
Sasa wakina juma juma wao wanajua ela za mfuko wa jimbo anapewa mbunge zote anaendanazo nyumbani kwake

..ni vijana wa mataga na uv-ccm hao.

..ni mbumbumbu hata kwa mambo madogo kama haya.

..msomi wa aina gani asiyeweza kufuatilia suala dogo kama matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo.
 
Natamani kumuona Dr Askofu Gwajima Mjengoni akiwawakilisha wana Kawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…