Halima Mdee: BAWACHA Tumepanga kuingia msituni


Kwa hiyo ulitaka wamwagiane togwa au wanzuki? Nitajie vitu vitatu tu ambavyo unafanya visivyo vya kigeni. Mambo yameenda shwari acha wafanye yao.
 
Kasema Sii kupigana vita wewe akili ndogo ya ccm bali KUPATA WANACHAMA WAPYA WA RIKA ZOTE!wenzako wanakunywa chai kikombe buku 10 dodoma, wewe unalipwa buku 7 kutwa nzima
niliwai kuandika humu kwenye JF kwamba chadema wana viongozi makini sana kwani ccm wanapowapa chadema dhana ya udini na dhana ya ukabila ndivyo wanawafanya wawe makini sana katika matamko yao,hapo alichosema Mdee ni kutafuta wanachama lakini ccm wanazungumzia vita, zote hizo ni hila za ccm lakini ccm ndio wanaonekana wazi sio waelewa wa mambo na ndio maana utawala unawashinda
 

Hakuna chama cha Bawacha
 
Huyu naye jamani au wanaingia vita vya msitu wa mavuziiii kama vya komba
 


Nimeipenda hii
 
Naanza kujuta kwa nini JF imekuwa namna hii na mimi ni member.
 

Mimi nilijua ulizionja kumbe umeziona tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…