KUMETOKEA NINI?!Viongozi wa Chadema wanakamatwa, akiwemo Halima Mdee na kupelekwa kituo cha Polisi Central, Viongozi wa Chadema nao wamenda pamoja naye
NASKIA KAKAMATWA BAADA YA KUMCHARAZA MAKOFI MKURUGENZI Baada ya kuahirisha uchaguziWacha kukashifu mama, Dada na mabinti zetu
Afadhali kamchalaza vibao yeye mwenyewe mbunge kuliko tukija kumchalaza vibao sisi wananchina
NASKIA KAKAMATWA BAADA YA KUMCHARAZA MAKOFI MKURUGENZI Baada ya kuahirisha uchaguzi
Kwa nini kakamatwa?Kaimu Mkurugenzi wa Jiji ameahirisha Uchaguzi wa Meya na Naibu Meya wa jiji bila sababu za msingi.
Pia, Polisi wamemkamata Halima Mdee na yuko Central Police".
"Democracy at Limbo"
Mtatiro J.
Trump hakukosea kwa kusema mtu mweusi bado anahitaji kutawali tena. Kwa mtindo huu hakuna demockrasia ila ni ubakaji wa demokrasia uliosababishwa na uroho wa madaraka na chama cha majambazi na fujo maccm.Our brain is still undeveloped and ..... that of chimpanzee.
kutokana na fujo za uchaguzi wa meya leoKwa nini kakamatwa?