Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,326
- 26,566
Wakijibu nishtue!Mbona ccm hawakumtoa Manji alipokuwa Segerea?
Wakijibu nishtue!Mbona ccm hawakumtoa Manji alipokuwa Segerea?
Naona umeshindwa kukumbatia ujinga japo roho inataka!Kwa hiyo kila kiongozi wa chadema akikamatwa kwa kesi binafsi chadema iwajibike?
Kwa uandishi huu hata form four sidhani kama umemaliza!Ndiyo watetezi wa waharifu Ndio CHADEMA kabisaaaaaaaa
Kama Chadema ni chama cha kikabila basi hilo litakuwa kabila mchanganyiko au kabila malaya maana wachaga wamo, wamasai wamo, wakulya wamo, wajita wamo, wabena wakina Msigwa wamo, wanyakyusa wakina Sugu wamo, hata wazanzibar wakina Salumu Mwalimu wamo sasa ni kabila gani lenye mseto hivi!!!Mkuu swali zuri Sana huwa nawaambia vijana Chadema ni chama Cha kikabila wanabisha wanafikiri kuwa mwanaharaki ni lazima uwe Chadema hapa ndio huwa nawaelewa Ccm
Zero level (O-level) nilikuwa napita tu Njoo ofcn kwangu nikuajili ili uachane na biashara ya pinga pinga kila kitu maana uvivu wa kufanya kz Ndio unawafanya kushinda humu mnacomment ujinga mtupuKwa uandishi huu hata form four sidhani kama umemaliza!
Always we determine on majorityKama Chadema ni chama cha kikabila basi hilo litakuwa kabila mchanganyiko au kabila malaya maana wachaga wamo, wamasai wamo, wakulya wamo, wajita wamo, wabena wakina Msigwa wamo, wanyakyusa wakina Sugu wamo, hata wazanzibar wakina Salumu Mwalimu wamo sasa ni kabila gani lenye mseto hivi!!!
Kuajili ndio nini?Hujachelewa,rudi shule kwani elimu haina mwisho!Zero level (O-level) nilikuwa napita tu Njoo ofcn kwangu nikuajili ili uachane na biashara ya pinga pinga kila kitu maana uvivu wa kufanya kz Ndio unawafanya kushinda humu mnacomment ujinga mtupu
Tabia za kichagga utazijua tuKuajili ndio nini?Hujachelewa,rudi shule kwani elimu haina mwisho!
Elimu ndio msingi wa maisha,nakushauri kwa roho nyeupe!Rudi shule!Tabia za kichagga utazijua tu
Hayo nayo ni mapungufu kumwambia mtu nyoa wakati anakipara kichwa kizima.Elimu ndio msingi wa maisha,nakushauri kwa roho nyeupe!Rudi shule!
I doubt it!Hayo nayo ni mapungufu kumwambia mtu nyoa wakati anakipara kichwa kizima.