Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,108
Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa maabusu jioni hii. Anatarudishwa mahakamani hapo kesho.
Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu.
===
Kwa taarifa zaidi.
Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu.
===
Kwa taarifa zaidi.
Mbunge mmoja wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA amepelekwa rumande baada ya kushindwa kutimiza vigezo vya dhamana mahakamani.
Halima Mdee ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la wanawake wa chama hicho pamoja na wenzake wanane, walifikishwa kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam wakituhumiwa kufanya maandamano yaliyopigwa marufuku.
Mwandishi wa BBC mjini Dar es Salaam Baruan Muhuza amefanya mahojiano na msemaji wa chama hicho Tumaini Makene ambaye kwanza anaelezea kwanini Mbunge huyo amekosa dhamana?
Chanzo: BBC Swahili