Halima Mdee amkana Mkono

Hon Halima ironlady ameshauri kama akuwa OK kuhuduhuria escrow saga atafute lingine name sikulishwasumu
 
Edit edit edit ..edit ur work before u dispatch it
 
Already airborne how do u dispatch??let m chk with tower aka mods ll come backsoon
 
jamani P didy hujui kuandika au? sikuelewi
 

Acha upuuzi bana sasa unaandika kama mtoto mdogo kwanini?
Kwa mfano Mkono unaandika nkono? Kua serious
 
Hahahaha.... mkongwe Pdidy katika ubora wake.......
 
Last edited by a moderator:
Nyie mnaompa misifa ya kijinga pdiddy mnamuharibu!!unakera mkuu kwani hata la sita hukufika?!aaah
 
ARVs zikisha fail mnasingizia sumu. Kwani hata kwa kumwangalia tu jibu si unalo. Kwisha jazi.
 
Mkuu umeandika kama umefumaniwa vp, au hyo smartphone hujaizoea??
 
Nyie mnaompa misifa ya kijinga pdiddy mnamuharibu!!unakera mkuu kwani hata la sita hukufika?!aaah

Weee....ana first class MBA degree ya UDSM ......acha masihara kabisa ......
 
diddy! mwandiko wako unazingua sana, hivi toka umejiunga jf hujajua tu kuandika vizuri?
 
huyu p'ddy alichokiandika anakijua yeye mwenyewe sijui kwanini mnampa misifa yaani
mm mwenyewe nimesoma na kurudia zaidi ya 2 sijaelewa chochote asidhani hapa fb
aende kuandika kule hapa watu tumetuilia tunaandika mambo ya maana fuu
Weee....ana first class MBA degree ya UDSM ......acha masihara kabisa ......
 
Kha!!!!! Athari za Escrow account pengine.... Nimeishia kucheka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…