King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,593
- 94,356
Hujaeleweka
Hujaeleweka
Fafanua kidogo Mkuu, umetuacha 'makutano'!!
Rais kikwete mbona alimualika? Hivi ninyi policcm mnasumbuliwa na nn?.... Heri.... Lazma nyota imulike
Hawaja mtandika kidogo?
Bawacha walipanga maandamano ya amani leo kuelekea ikulu kwa raisi.
Rais kikwete mbona alimualika? Hivi ninyi policcm mnasumbuliwa na nn?.... Heri.... Lazma nyota imulike
Ni kweli kabisa Dr.Dr.Dr. JK alimualika ikulu.
alimualika wakat wa uzinduz wa barabara mwenge-tegeta labda make-nge-zaaaa hakuskia
Hizi ID huwa zinaendana na akili zenu, we mkuu una akili ya katumbiliNapia wamwangalie kama ni mwanamke kweli! yaweza kua anaigiza kuwa mwanamke kumbe dume. nchi hii italindwa na raia wake wanaotii sheria bila shuruti ukikaidi utapigwa tu
alimualika wakat wa uzinduz wa barabara mwenge-tegeta labda make-nge-zaaaa hakuskia
hao ni WACHOCHEZI TU.....ACHA WAHIFADHIWE KWA MUDA.