CattleRustler
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 1,055
- 468
Naam, leo hii kila Mtanzania ana maisha bora na fursa nyingi sana kuliko ilivyokuwa miaka 9 nyuma. Labda awe mgonjwa wa akili, mzee sana ambae wanawe, ndugu, jamaa na marafiki wamemtupa au ni mvivu wa kutupwa.
Bali utafuteni kwanza ufalme wa gwajima na mali zake.....na hayo mengine yooote mtazidishiwa
Nasikia serikali ya MaCCM wanataka kumtoa Gwajima pale viwanja vya Kawe kutokana na msimamo wake wa kuunga mkono harakati nyingi za upinzani na hasa uswahiba wake na Dr Slaa ......MaCCM acheni visasi nyakati hizi zilizojaa uwazi bana ......
".....Mbunge wa dar es salaam kutoka Upinzani kushinda
Uchaguzi bila kutoa Rushwa..."
Vipi Mnyika?!
wazipige kisa nini?mbona unamuaibisha Mdee?,unaonekana mjinga kwa kupost ujinga humu sasa kamanda mdee hapo anahusikaje?au mnataka kumpakazia kama mlivo fanya kwa hao wengine? mdee anaulinzi kijana kuwa makini.....leta hoja za msingi kama umekosa kazi soma magazeti ya udaku ucheke.....
".....Mbunge wa dar es salaam kutoka Upinzani kushinda
Uchaguzi bila kutoa Rushwa..."
Vipi Mnyika?!
".....Mbunge wa dar es salaam kutoka Upinzani kushinda
Uchaguzi bila kutoa Rushwa..."
Vipi Mnyika?!
Quran takatifu ''Na asiyetaka dini isiyokuwa ya uislamu malipo yake ni moto''
".....Mbunge wa dar es salaam kutoka Upinzani kushinda
Uchaguzi bila kutoa Rushwa..."
Vipi Mnyika?!
".....Mbunge wa dar es salaam kutoka Upinzani kushinda
Uchaguzi bila kutoa Rushwa..."
Vipi Mnyika?!
Ajenge soko na barabara kwani ni yeye anayekusanya kodi yako? alitoa ahadi hiyo iwapo chadema wangechukua nchi tafakari kwa kutumia bongo bhana!