Suleiman Daudi
Member
- Jun 2, 2014
- 47
- 8
kaka lkn mbona ni wengi inamaana wote wale ni wajinga? daa huyu jamaakazi ipo! wajingaaaaaa hawato isha labda bahari ikaukeeeeeee
".....Mbunge wa dar es salaam kutoka Upinzani kushinda
Uchaguzi bila kutoa Rushwa..."
Vipi Mnyika?!
hawezi kuwepo yule jamaa sema atakuwa anajipanga si unajua vita yake ni magazeti ya udaku ndio uwanja wake uleEmanuel Mbasha yupo?
Maelfu ya watu wahudhuria leo kanisani kwa mchungaji Gwajima. Ibada hiyo iliyohudhuriwa na waimbaji nguli wa nyimbo za Injili Munishi
Waumini hao walilipuka kwa shangwe viwanjani hapo baada ya Rose Mhando kumuomba mchungaji Gwajima amruhusu kuhamia kanisani kwake.
Sasa Mbunge Halima Mdee amekaribishwa kuongea, nitaendelea kuwapa updates.
Emanuel Mbasha yupo?
Gwajima huku kwetu maana yake ni moto uliozima.
wewe umeona sasa hivi ila hicho sijaandika mimi ni huyo huyo figganigga..Mbunge Mwanamke.